Ndesamburo-CHADEMA akubali Mahakama ya Kadhi!!

Mzee Ndesamburo, the issue is about separation of religion and state. This however, is a huge challenge considering that Tanzania is still a young state and separation may not be as easy as you would imagine. After all history has its lessons.
If you look at the history of European countries such as England , France , Netherlands , Spain , and Germany etc there was a lot of acrimony between Protestants and Catholics.
During the reign of King Henry VIII of England, people were forced to pledge allegiance to the Church of England and not the Catholic church with many getting beheaded and burnt alive. During Mary's time, his daughter, Protestants were persecuted and people forced to be catholic!
Charles IX of France with his mother Catherine de Medici orchestrated the massacre of Protestants in France and the Pope, Gregory XIII of Rome celebrated and even made a special commemorative medal in honor of the occasion same to King Philip II of Spain .
In other words, it took centuries for the older societies to reconcile themselves with the fact that there has to be a separation of religion and state.
Why do you want to put ourselves in the same predicament? Are we mature enough to separate the two? What if we got a Muslim president who then declares that all shall have to go to Khadhi courts, what are we gonna do? Go back to the streets for a second or is it third liberation?
I think the best option is to leave the kadhi courts out of the constitution once and for all coz we will never know what would happen afterwards. I do not want to pre-empt anything but we all know that we have fanatics both Christian and Muslim!
 
Hili nalo safari hii CHADEMA wanajaribu kuzi-grab kura za waislamu. Hijacking staili, wakipata wawapige danadana kama ccm na jk. Hili swala msilichezee kabisa ni moto mkali, safari hii ccm wamepeta nalo na kulipigia danadana kwa sababu walikuwa hawana wa kushikia bango, wangemshikia je bango JK kwamba anawadhulumu?
 
Hili nalo safari hii CHADEMA wanajaribu kuzi-grab kura za waislamu. Hijacking staili, wakipata wawapige danadana kama ccm na jk. Hili swala msilichezee kabisa ni moto mkali, safari hii ccm wamepeta nalo na kulipigia danadana kwa sababu walikuwa hawana wa kushikia bango, wangemshikia je bango JK kwamba anawadhulumu?

Kwa hiyo unafurahia jinsi waislamu wanavyopigwa danadana na ccm, unataka chadema wafanye the same..sijakupta?
 
Topical !
Hujui unachozungumza na acha udini. JK Litumia muda wa dakika sitini kule Dodoma mwaka jana kueleza kwa kina maamuzi kuhusu Mahakama ya Kadhi. Kila mtu mwenye nia njema na Taifa hili alikubaliana nae. Kuwa na mahatmahakama ya Kadhi Kama iliyoko Kenya it's only half way. Sharia is the solution Kama waislam wataka kufuata maandiko. Mifano ya Sudan, Northern Nigeria na Alshabab pamoja na Afghanistan inanifanya niamini na kuwashauri muachane na hii Mahakama ya Kadhi Kama alivyoamua JK Kama itakuwa haina maamuzi ya msingi bora tukae Kama tulivyo sasa au tutafute sayari ya kuishi ili ku practice sharia!
 
Huo msimamo wa JK haufai; inatakiwa itambulike kikatiba na kisheria..otherwise ni changa la macho. ndesa amewaelewa waisalmu sijui lakini kama ataweza kupeperusha vema au itakuw akama alivyofanya mrema

ukweli ni kwamba mlitumika, mnatumika na mtaendelea kutumika msiposimama wenyewe kujitegemea. mmekwisha pewa go ahead, muanzishe kwa fedha yenu, mngejipanga mkaitana na kuchangishana kwa utaratibu maalum ambao mngejipangia saa hizi mngekua mnatafuta ofisi, kama si kufanya mchakato wa ujenzi wa mahakama yenu.

tatizo mnasubiria kukinga kibakuli kutoka serikalini, mmetumiwa mwaka 2005 mkagawa kura, ndesamburo atawatumia 2015 mtampa kura mkitumaini atawakatia fungu. Wake up ndugu zangu. if you want something well done, do it yourself ?(sijui kama nimekakopi kiufasaha hako kamsemo) simameni jishikeni changishaneni wekeni kikakati anzisheni mahakama yenu hapo mtafanikiwa.

la sivyo mtatumika kama tissue matumizi yakiisha mnatupwa jalalani(samahani kama sentensi hii ni kali)

ila huo ni mtazamo wangu tu........
 
In otherwords CHADEMA washaichukua hii issue na sioni namna CCM wanavyoweza kuifanya iwe yao

ishort washagawanya kura za waislam from CCM

Good move
 
Kwanini mahakama ya kiislam inataka kuwepo kikatiba hasa? Kwanini wasiziendeshe ndani ya uislam? Indirectly ndo kutaka kuipa serikali dini?
 
ipi yenye uafadhali hata kwa mtoto wa std 6 atajua????
kutafuna pesa kipumbavu au kufanya jombo kwa manufaa ya baadhi ya watu????
nasema baadhi ya watu manake hyo mahakama ya kadhi has nothing to do with the christians.....
 
Haloo mangiii...umchoka na wewe kama mzee wa kiraracha ee? Watengee wewe mapesa aisee...maana serikali ya bongo haiwezui fanya hivyo atii..
Mahakama ya kadhi ni kadhia..watu wataitumia kama ngazi ya kisiasa kama magamba walivyofanya 2005.
 
cdm inajua wazi kuwa haikubaliki katika jamii ya waislam walio wengi na ni dosari hivyo inajaribu kutumia matatizo ya waislam ili kupata support yao.kulikuwa na thre humu inauliza chadema inajiandaaje kupata kura za waislam 2015,naona ndio majibu yameanza kupatikana.

Kwamba CDM haikubaliki ktk jamii ya waislamu, utafiti huo umeufanya lini? What was your problem? What were your empirical reviews? What are your fact findings ambazo kwazo zimekufanya wewe ufanye hitimaisho hilo? Ulichokisema kama hakina vigezo tajwa hapo nyuma basi ni uzushi na huna haki ya kusema ulichoandika. Tujuze sasa hivi la sivyo utakuwa na ufinyu wa kufikiri kama wanamagamba na kama wewe ni mmoja wao so sorry for being short minded.
 
cdm inajua wazi kuwa haikubaliki katika jamii ya waislam walio wengi na ni dosari hivyo inajaribu kutumia matatizo ya waislam ili kupata support yao.kulikuwa na thre humu inauliza chadema inajiandaaje kupata kura za waislam 2015,naona ndio majibu yameanza kupatikana.

Hapo kwenye red ungemalizia kuwa ...... ambao wameathiriwa na sumu ya udini iliyomwagwa na CCM.Hapo ungeeleweka.
 
ndesamburo kachoka,hakuna mahakama ya kazi bongo,kama rais alivyoshauri anzishen yenu wenyenye serikali isihusike,mnaacha kuanzisha shule mnakazana na mahakama ya kadhi,huo ni ugonjwa wa wanazuoni wengi,akili zao zimejaa ubaguzi tu,kila dini ikitaka hayo hatutafika,wahindu,wabanian,wakristo,wabudha,wapagani,wote hao nao watataka mahakama yao,wanazuoni,Ndesamburo wote akili zenu sawa na za jogoo tu.na sisi wala kiti moto nyama tamu tunataka mahakama yetu,ili vitimoto vijengewe nyumba safi na vipewe ruzuku ya chakula ili walaji tusilanguliwe.
 
Back
Top Bottom