Ndesa yuko sahihi sana..
JK haiwakuwa mawzo yake ila mawazo ya maaskofu (pure)
NB. Ndesamburo ameelewa kitu ambacho waislam tunataka, wasiwasi wangu ni kuwa ataweza kupambana na mfumo kristo?
Mahakama ya Kadhi tatizo si mfumo wa kikristo,tatizo ni waislam wenyewe,na kibaya zaidi ni ubaguzi mnaoundekeza waislamu.
Wakristo hawana time na hayo mambo,na ukitaka ujue hakuna ubaguzi nenda Radio WAPO utawakuta waislamu wanafanya kazi,nenda Radio Faraja utawakuta waislamu,nenda Radio Tumaini,lakini je Radio Iman kuna wakristo wangapi?