CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,920
Halafu huyo Twiga mpya ana urefu 2/3 ya mlima kilimanjaro
ya chini mkuu mpya ya juu 2016 hiyoHiviii yazamn ndo ipi Kati ya hzo ndege mbilii??????????
Mimi swali langu moja tu; hivi huyu aliye mchora huyu twiga ni nani jamani? Kama kabemendwa, mungu anamuona haya tu.
Mchoraji wa zile za zamani alikua anajua kuliko wa sasa.
Mchoraji sio fair, sema poa tu na sipandi
View attachment 406534
View attachment 406535
Hasa wananchi wasio na uelewa kama mimi kuleni tuuSisi tunazitumbua pesa zenu za kodi, nyie angaikeni na hiyo rangi yenye mfano wa twiga, mkishamaliza semeni madirisha ya ndege hayafunguki alafu madogo kama lock up ,ha! ha! Mkisha maliza na sisi tutakuwa tushamaliza kuzitumbua.
Hakuna kitu kizuri duniani kama kula pesa ya wananchi.
Ndo maana kabong'oa?"Twiga mnyonge"
Huyu wa sasa wala sio mnyonge
Kwani twiga anapandwa na watu?Mnaobishia huyo twiga hata kumpanda hamhusiki
Ttcl sikio la kufa. Hawafufuki hata wajirembejeAir Tanzania inahitaji kufanyiwa complete rebranding kama TTCL walivofanya
Huyo Twiga kama anajisaidia vle
Mpaka mliuze uilo takataka. Mmeacha kununua madawati mnalipia mapangashaa cash?Mwanzo ilikuwa hampandi kwasababu ni mapangaboi. Baada ya cd ya mapangaboi kuchuja sasa mmetoa single mpya twiga kakosewa!
Ndo abong'oe?you guys don't get it, do you? Huyo twiga amechorwa akiwa anakimbia. I mean yuko mwendokasi
Ukimkagua sana kabong'oa. Twiga mliberaliHuyu jamaa anataka tu aseme kwamba....
Hiyo ni picha ya twiga shoga..
Ina twiga aliebong'oa?kesho inaletwa nyingine