Ndege yetu mpya, nani aliyemchora yule twiga?

Ndege hizi zilipaswa kulipiwa dola million 9 kwa kila ndege lakini serikali imelipa dola million 61 kwa kila ndege na kwa fedha taslim kwa amri ya raisi. by ZITTO KABWE.
 
Sisi tunazitumbua pesa zenu za kodi, nyie angaikeni na hiyo rangi yenye mfano wa twiga, mkishamaliza semeni madirisha ya ndege hayafunguki alafu madogo kama lock up ,ha! ha! Mkisha maliza na sisi tutakuwa tushamaliza kuzitumbua.

Hakuna kitu kizuri duniani kama kula pesa ya wananchi.
 
Hasa wananchi wasio na uelewa kama mimi kuleni tuu
 
hapo wamechemka coz ile ndo kama logo ya hizo ndege but kiumweli huyo twiga hana mvuto hata kidogo wa kibashara kakaa utadhani sanamu lakupgia ramli
 
Back
Top Bottom