Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,014
- 95,369
Hahaha! Kiongozi nikipata dhahma ntakuhitaji uwe wakili wangu...........!Huyu alisafiri na Precision bana... na wana ndege MPYA kabisa hawa PW, na ni za kisasa sana...unasafiri huku unatazama live ma'ALJAZEERA huko ndani, na music mororoooo wa TwangaPepeta, hadi raha!