Ndege ya ATCL Yapata Kizaazaa Mwanza

Huyu alisafiri na Precision bana... na wana ndege MPYA kabisa hawa PW, na ni za kisasa sana...unasafiri huku unatazama live ma'ALJAZEERA huko ndani, na music mororoooo wa TwangaPepeta, hadi raha!
Hahaha! Kiongozi nikipata dhahma ntakuhitaji uwe wakili wangu...........!
 
Huyu alisafiri na Precision bana... na wana ndege MPYA kabisa hawa PW, na ni za kisasa sana...unasafiri huku unatazama live ma'ALJAZEERA huko ndani, na music mororoooo wa TwangaPepeta, hadi raha!
muelezee kiongozi!(halafu muulize KWANINI HAPOKEI SIMU WALA KUJIBU MESEJI ZANGU?.....:D:D)
 
Suali langu hapa ni je, hizo emergency exit zinafanya kazi kweli?? inawezekana ni Kanyaboya... we angalia siku zote mlango unaotumika kwenye hiyo ndege ni mmoja, labda mingine imeota kutu na haifunguki.
.
Kawaida ni kwamba mlango uanotumika kwenye ndege nyingi ndogo na za saizi ya kati ni mmoja tu!

Milango ya Emergency ipo mingi, lakini hii huwa haifunguki yenyewe.

In short tusema EMERGENCY EXITs za ndege ni sehemu ambazo ziko demarcated kwaajili ya kuzifosi kufungua (whether kwa kukata au kusukuma kwa nguvu)inapotokea emergency....Labda hili lieleweke hivyo!
 
muelezee kiongozi!(halafu muulize KWANINI HAPOKEI SIMU WALA KUJIBU MESEJI ZANGU?.....:D:D)

Dataaaz:eek::rolleyes:
Nilishakwambiaga kama unataka mawasiliano ya uhakika na mimi, nitafute napokuwa na chini ya chupa mbili za valuu kumkichwa!
 
Dataaaz:eek::rolleyes:
Nilishakwambiaga kama unataka mawasiliano ya uhakika na mimi, nitafute napokuwa na chini ya chupa mbili za valuu kumkichwa!
KWAKWELI utasababisha NIJITOE JF:D:D:D....!mtanipigia simu weeeeeeeeeeeeeeeee,mtanibembeleza weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee lakini sitapokea na sitarudi:D:D:D
 
Kichwa cha habari ni potofu. Ndege ilikuwa inatua maji yakaingia kwenye injini ikazima na ndege (B737-200) ikaserereka nje ya runway na nose gear ikaharibika. Huko sio kuanguka. Hakuna majeruhi.
Thanks Byasel kwa kuweka sawa ili, maana ukweli ni kuwa ndege haikuanguka
 
Unaweza kutupa mifano japo michache tu ya jambo hili la kawaida? Tusijekuwa tunafumbia macho uzembe kwa kusingizia kuwa ni jambo la kawaida kwa ndege kupata ajali wakati wa kutua kukiwa na mvua
Uzembe ni pale ambapo rubani anapewa tahadhari na waongoza ndege, anadharau na kuleta maafa.! Rubani kabla ya kutua hawezi kujua "runway" ni salama au la, bali anategemea ushauri wa waongoza ndege "control tower" Shakazulu usiwe mwepesi wa kutoa lawama!
 
Kawaida ni kwamba mlango uanotumika kwenye ndege nyingi ndogo na za saizi ya kati ni mmoja tu!

Milango ya Emergency ipo mingi, lakini hii huwa haifunguki yenyewe.

In short tusema EMERGENCY EXITs za ndege ni sehemu ambazo ziko demarcated kwaajili ya kuzifosi kufungua (whether kwa kukata au kusukuma kwa nguvu)inapotokea emergency....Labda hili lieleweke hivyo!

Mimi sio mtaalamu wa ndege sana, lakini katika safari zangu chache nilizofanya na boeing niliona milango miwili imefunguliwa, wa mbele au katikati ili iwe rahisi kwa wale wa first na business class kufika kwenye viti vyao na wa nyuma kwa economy...

Kuhusu emergency Exit, zimewekwa ili zifunguliwe kwa ku-push, sasa ndege ya jana ilipata ajali, na wanasema kwamba kukitokea dharura, tumia mlango wa dharura... tuseme mfano ingetumbukia ziwa victoria hiyo jana (hatuombei itokee)... hao ma hostess wangewaambia waendelee kusubiri mpaka wafunguliwe mlango wa huko kwenye tail ndio abiria watoke?:(:confused:?
 
Natumai ATC watakuwa na bima nzuri tu maana hilo lidege sijui litagharimu kiasi gani kulitengeneza.

Subutuuuu, wataungaunga kama TRL anavyounga vichwa vya treni, spea hii toka Mang'ula, hii toka Nyumbu, hii toka Tazara, halafu unaambiwa twende angani kama kazi, shauri zenu mlio na sikio la kufa!
 
ni poor maintenance, kusema kua ni mvu its pathetic lie, ndege zina fly route ndefu tu na kwenye mvua mbona hazifail engine, kwa mfano route ya kutoka rio de jeneiro to paris, ndege zina fly over atlantic ocean for over 8hrs non stop na ii route most of the time mvua inanyesha, tena very heavy lakini daily ndege zinafly!
watanzania tuache kudanganyana izi ndege zetu apa bongo zina fly kimungumungu tu, watupe record ya maintenance tuione? boeing 737 is a very versatile transporter plane ime earn reputation ya ubora through its number of yrs in service with almost all airliner in the world, uzuri wa boeing matukio kama haya hawayaachi yapite ivivi hua wanatuma team kuja kuinvestigate kufind what went wrong, tuwasubiri waje muone iyo report watayotoa!
 
-Juzi juzi hapo dar watu walikua wanapima response ya jamii kwenye majanga..
Ni sawa.
Lakini ile haihusiani moja kwa moja na operation ya ndege perse!
Mazoezi yale ni kupima utayari wa wadau wote wa Aviation katika viwanja katika kukabiliana na majanga ya ndege yanayotokea within the airport vicinity!
Kwa tukio kama lile hapakuwa na nafasi ya kupractise hayo mambo coz hapakuwa na disaster kuubwa kihivo!
Useme watu wa fire-brigade walitakiwa kuonyesha responce ya haraka kabisa kusogea kwenye tukio!
 
Mashirika mengi yalishaondoa Boeing 737 200 aircrafts kwenye service .. (technology ya 1968). ATCL wanachezea maisha ya watu
 
watupe record ya maintenance tuione?
tema mate chini unataka wasipande tena ATCL weewe!!!
TCAA unafikri awajui hili wanalijua fhapo wanasubiria kukimbilia perdiem unasikia wamekaa siku 7 wana investigate wakitoka hapo wanakuja na mikwara kwenye uongozi wa ATC wanawatisha watu wanapewa fungu lao,......ziiiiiiiiii
usalama wa anga ni mfuko wa mtu kwa tanzania,..ukitaka kufwatilia serious usalama wa ndege zetu precission /atcl zitabaki zanair tu zinaruka angani walahi nakwambia,...
nenda pale tcaa wakupe mikanda mzima
Mungu wanusuru waja wako
 
ni poor maintenance, kusema kua ni mvu its pathetic lie, ndege zina fly route ndefu tu na kwenye mvua mbona hazifail engine, kwa mfano route ya kutoka rio de jeneiro to paris, ndege zina fly over atlantic ocean for over 8hrs non stop na ii route most of the time mvua inanyesha, tena very heavy lakini daily ndege zinafly!
watanzania tuache kudanganyana izi ndege zetu apa bongo zina fly kimungumungu tu, watupe record ya maintenance tuione? boeing 737 is a very versatile transporter plane ime earn reputation ya ubora through its number of yrs in service with almost all airliner in the world, uzuri wa boeing matukio kama haya hawayaachi yapite ivivi hua wanatuma team kuja kuinvestigate kufind what went wrong, tuwasubiri waje muone iyo report watayotoa!

Wanasema ndege ilitua vizuri sema ika skid ,mara baada ya kutua , hilo tatizo linnatokeaga sana mara nyingi ina skid off the runway sababu ya utelezi, labda hapo ia hizo tairi zilikua na poor quality .

Mvua ina weza ikawa sababu pia , unakumbuka ile fight ya Air France from Paris to Toronto , ilitua vizuri kwenye runaway ilka kulikua na bad weather kiasi ikapitilzia nje ya runway na kulipuka luckly nobody died.
Na hii pia ya Air France from Rio Degeneiro to Paris , ili crash kwney Atlantic ocean, sababu hiyo ndege ilikua inaanza kuingia kwnye sehemu ina bad weather , hiyo airbus ambayo ilkua ni mpya ili sent text message kuonesha kuna tatizo la decorpression , ina maan ili brak up ikiwa inaingia kwnye hilo wingu , kwa wenywe wanadai iliingia too fast au ilikua too slow , so rain and thunder zina weza letataizo.
 
Back
Top Bottom