Nchi ya Madokta (Phd's) wengi bila faida

Kumbuka hapa JF tupo kama majini, tunatumia majina tunayoona yanafaa kwenda nayo.
Mfano inamankusweke unaweza nambia ndo kazi yake kusweka watu? :oops:
If that is the case, kwanini utake Phd za kupewa kama za Msukuma na Samia ziwe na effect wakati unajua ni Urembo tu?

Once you point a finger at others, remember there are other 4 fingers demanding explanation from you
 
Hebu fikiria kwamba huko duniani ni Vladimir Putin, Joe Biden, Narendra Modi, Benjamin Netanyahu, Xi Jinping, Hang Zheng, Frank-Walter Steinmeier, Olaf Scholz, Mikhail Mishustin, Anthon Blinken, n.k.
Kama ni kwamba wenzetu hao hawana hata udokta wowote lkn wanai-run Dunia, sisi tulio na madokta wengi wasomi kuanzia ngazi ya tawi la chama, taasisi za serikali na sekta binafsi hadi kule ukanda wa bahari karibu na soko la samaki, tunafeli wapi lakini. Hizo Phd's zenu ni za kwenye makaratasi au za kuchongesha tu?...
Tuwekane sawa bhana...
Degree is not a skill is just a manilasheet🤣🤣🤣🤣🪑💺
 
Back
Top Bottom