Nchi ya Madokta (Phd's) wengi bila faida

DON YRN

JF-Expert Member
Jan 14, 2019
474
999
Hebu fikiria kwamba huko duniani ni Vladimir Putin, Joe Biden, Narendra Modi, Benjamin Netanyahu, Xi Jinping, Hang Zheng, Frank-Walter Steinmeier, Olaf Scholz, Mikhail Mishustin, Anthon Blinken, n.k.

Kama ni kwamba wenzetu hao hawana hata udokta wowote lkn wanai-run Dunia, sisi tulio na madokta wengi wasomi kuanzia ngazi ya tawi la chama, taasisi za serikali na sekta binafsi hadi kule ukanda wa bahari karibu na soko la samaki, tunafeli wapi lakini.

Hizo Phd's zenu ni za kwenye makaratasi au za kuchongesha tu?, nchi ina madokta na maprofesa wengi hawajawahi kuwa hata na uvumbuzi wa maana kusaidia nchi yao na wakipewa hata kuendesha taasisi zinawafia Ref. TTCL, ATCL, n.k.

Nchi ina mainjinia wengi lkn hawajawahi kuunda hata gari ndogo km STARLET ikaingia barabarani, kazi zao ni kudesign ramani za majengo tena ile copy & paste mtandaoni huko na hapo ndipo uinjinia wao unaishia.

Tuwekane sawa bhana...
 
🤣🤣🤣huku wengi wa mchongo

Kuna yule Dokta sijui Prof mroso aliyetuchonesha tukalipa bil kadhaa kwenye madini
Hata kizungu hajui🤣🤣😂

Ana ego wakati language, substance,confidence,pause Hana😂🤣

Kama ni kipanga hata ukiishia fomufoo ni kipanga🙏
 
Hii nchi bila kuwa na kiongozi Kichaa kichaa, mwehu mwehu,chizi chizi, na Muuwaji hatuwezi kusonga na ndiyo maana hata hao Ma- Dr wapo tu kazi yao ni kusifia sifia ujinga tu!

Nadhai Tukimpa nchi hii Mtu mwehu kama Bashite hao Ma-Dr watanyooka tu na wataifanya kazi iliyotukuka!
 
Hii nchi bila kuwa na kiongozi Kichaa kichaa,mwehu mwehu,chizi chizi, na Muuwaji hatuwezi kusonga na ndiyo maana hata hao Ma- Dr wapo tu kazi yao ni kusifia sifia ujinga tu!


NNadhai Tukimpa nchi hii Mtu mwehu kama Bashite hao Ma-Dr watanyooka tu na wataifanya kazi iliyotukuka!
Kweli yule jamaaa ni mwehu
Atuwez mpa nchi labda nchi kavu
 
Hebu fikiria kwamba huko duniani ni Vladimir Putin, Joe Biden, Narendra Modi, Benjamin Netanyahu, Xi Jinping, Hang Zheng, Frank-Walter Steinmeier, Olaf Scholz, Mikhail Mishustin, Anthon Blinken, n.k.
Kama ni kwamba wenzetu hao hawana hata udokta wowote lkn wanai-run Dunia, sisi tulio na madokta wengi wasomi kuanzia ngazi ya tawi la chama, taasisi za serikali na sekta binafsi hadi kule ukanda wa bahari karibu na soko la samaki, tunafeli wapi lakini. Hizo Phd's zenu ni za kwenye makaratasi au za kuchongesha tu?...
Tuwekane sawa bhana...
Mpaka babu Tale na Msukuma! 😅😅🤣
 
Back
Top Bottom