Nchi mpya zinazotarajiwa Afrika

Nillishawahi kuweka thread inayozungumzia hili, niliandika taifa linalofuata baada ya Sudan ya kusini ni Tanzania ya Kusini. Waliniponda watu sana lakini mpaka sasa watu wa kusini wanahoji kwa nini gesi isafirishwe kwa mabomba mpaka Dar au Tanga??? Wao hawastahili maendeleo kama kanda zingine za nchi hii??!!!

Wana uchungu hao maana mpaka bandari zao zimetelekezwa (Mtwara &Lindi)

Kilimo ndo usiseme, korosho hamna kitu tena!!!

Vipi, mkuu. Hoja yako ni ipi hasa?

Vipi gesi ingesafirishwa mpaka Marekani kwa meli na sio mpaka Mwanza kwa bomba? Yaani nyie mnatakaje zaidi ili iwanufaishe?

Labda ukifafanua wengi tutaelewa.
 
Back
Top Bottom