Doctor Ngariba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2020
- 480
- 765
Hi Kings and Queens.
Nimejiuliza swali hili baada ya kusikia nchi kama Ufaransa na Marekani kuwa na majeshi katika ardhi za nchi nyingine.
Naomba kujifunza kwa kujibiwa maswali haya:-
1. Hawa mabeberu wanaanzisha kambi zao kibabe kwa maana bila ridhaa ya wananchi au wanapewa ardhi na wenye nchi zao?
2. Na kama wanapewa kwa ridhaa ya wenye nchi, je hio ardhi yenye base yao inakuwa kwenye umiliki wa mabeberu au inakuwa imekodishwa kwa muda tu.
3. Kwa nini wanaanzisha au kuweka majeshi yao kwenye ardhi za kigeni?
4. Zipi faida au athari zipatikanazo kwa nchi mwenyeji kukaribisha vikosi vya kigeni katika ardhi yake.
Karibuni wajuvi tujifunze.