Nchi hii inapoteza uelekeo, wasomi mko wapi?

siion dhana halic ya msom nchin, weng wamekua wachua tumbo, walafi, wevi, mafisad, wapotoshaji na wahujumu uchumi. baadh ya wasom ndo wameshirkiana na watawala ku2fikisha hapa tulipo. cpend hata kuwackia utackia phd holder, nna masters ya uchum, mara nna degre 3 without any reflection in the society. asilimia kubwa ya watz ndo kabsa ha2elew n bora liende 2 2nasafar ndefu sana kufikia fikra huru zisofungwa fungwa na chama, din, kabila, ukanda na rangi. naamin n zaid ya miaka 100 mbele uko
 
Hao wananchi wa Tandahimba sijui na wapi vile wanatakiwa wajitetee wenyewe na si kusubili kutetewa.maana wao ndio wanalipa kodi na hiyo kuwa na wajibu pia kuidai/kuitaka serikali iwaletee maendeleo
Mabadiliko Mengi Duniani Yanaletwa Na Nguvu Ya Umma

Wanaharakati Lakini Mabadiliko Matakatifu Bila Rabsha Yanaletwa Na Wasomi Hivi Kwanini Hawa Wa Kwetu Wamepooza Hivi?
Hivi Nini Kimempata Shivji Hata Kubadili Msimamo Wa Kutetea Taifa Wanafunzi Wa Vyuo Vikuu Wakiandamana Ni Kwaajili Ya Mikopo Hawajawahi Kutoka Kutetea Taifa
Fedha Yetu Imekufa,wabunge Wanatumia Kodi Zetu Kujadili Bajeti Hewa. Hivi Nani Wakuwatetea Hawa Wananchi Wa Tandahimba Na Namtumbo Wasomi Wetu Semeni Serikali Hii IMECHOKAA
 
Mpaka wabongo mtakapoacha uboya wa kulalamika lalamika na kusingizia nani na nani ndio chanzo cha matatizo bila kuchukua hatua mtakatwa mpaka basi
Ni kweli mkuu pale tutakapojitambua na kuamua kuchukua hatua kupiginia maslahi ya nchi yetu kila linaloonekana gumu lelo litarainika na nchi itakuwa na mfumo bora wa kuweza kutupatia viongozi bora kwa maendeleo yetu.
 
Hivi serikali ya Magufuli inawalipisha kodi nyumbu pia?au Mimi sijaelewa? Tz kuna watu waitwa nyumbu kwa maana kuwa serikali ya ccm inaongoza watu na nyumbu? Kama hii ni kweli basi watanzania sahauni maendeleo
Tulia wewe nyumbu ukamuliwe
 
hii nchi ni kama haina wasomi
Ina wasomi tena wengi sana, tatizo serikali imewatenga na kuwazarau ili wasifanikishe ndoto zao, bali serikali yenyewe ifanikishe malengo yake, nayotehaya yanatokana na kuwanyima ajira ata fedha za mtaji ili wajiendeleze na shuhulimbalimbali au angalau inge kuwa inajuwa wasomi wakisha maliza chuo wanaenda wapi?
 
Back
Top Bottom