Nchemba tena - bungeni; adai kutishiwa kuuwawa na wabunge wa CHADEMA

Mnyika, Tundu Lissu, J. Mbilinyi, Zitto wameshindwa kutafsiri Kanuni za Bunge mara ngapi? Mbona wao hamuwaiti vilaza?
 
mwigulu anajinajisi mwenyewe na damu za wanaokufa kutokana na political miscalculations zake... hivi ameenda hata kuhani huo msiba?
 
Pia Mwigulu amesema kuwa alitumiwa ujumbe mfupi wa vitisho kabla ya tukio hilo kutoka kwa namba ambazo baadaye zilikuja kuonekana kuwa ni za wabunge wa chadema baada ya kuwa traced. Na Spika makinda pia amesema namba hizo zimewasilishwa hata kwake na ni kweli ni za wabunge wa chadema.Amesema uchunguzi wa jehi la polisi ufanyike na wanaohusika wachukuliwe hatua madhubuti bila upendeleo.

My take:Just no comment!
 
Anatumika na wanaume huyu, wanataka ku'dilute ishu Za Kamanda Kova, Mkenya wa kuunga na Pattex, na statement ya Gwajima.
 
Akiomba muongozo wa spiker Mwigula Mchemba amesema ametishiwa kuuwawa na baadhi ya wabunge wa Chadema kwa kumtumia sms akilinganisha na tukio la kuuwawa kwa kijana wa uvccm iramba.

It is only a figment of his own imagination! He is yet to see the epicentre of the revolution; he is another Kova the flat footed copper; running scared.!!!
 
my take
mleta mada hakuwa na jambo la maana la kuandika hapa alitaka nayeye aonekane ameanzisha mada
 
Tumemsikia...anajifanya Msomi kumbe hata kanunu hazijui.. eti anaomba hoja binafsi na ya dharura, naona anatapatapa tu. muuaji anajistukia. burn karudi

Hakuna asiyejua mko humu kuuaminisha ummma kwamba wana jf wote ni chadema,mmechemsha na ubongo wenu wa samamki,wauaji tunawajua ni chadema na sabau za kuua zinajulikana,mmetangaza mtamwaga damu na mmmeanza sasa,kila la heri na madaraka ya damu za watanzania.
 
Haah! siasa bwana watu kuuwana ya nn sote wtz ccm cdm kitu moja tupambane kwa hoja mtz kuwa makini na siasa utaangamia
 
Huyo nchemba ndiye aliyekodisha vijana kwenda kufanya vurugu kwenye mkutano wa chadema NDAGO sasa analalama nini watamdhuru kweli mwache ajifanye mjanja......
 
hili chemba limefumuka kweli.ametishiwa kifo na wabunge wa chadema na anadai sms za hao wabunge amezipeleka police na spika amecomfirm kwel hzo sms ameziona na number zao anazo.

Itakua ni vema kama mnyika ukaja hapa kutoa ufafanuzi kuhusu hli na ikiwezekana weka wazi sms zilizotumwa kwa nchemba manake huyu jamaa nikwel msipo mdhibiti mapema ataendeleza upuuzi wake hapo bungeni
 
Ataka shuhuli za bunge zihairishwe wajadili mauaji yaliyotokea singinda kama jambo la dharura kwa taifa, adai kutishiwa kifo na wabunge wa chadema kwa njia ya sms.
My take: Kweli si si em wamefilisika kisiasa mpaka wanafikia hatua ya kutumia mauaji kama mtaji wao wakisiasa, nahuyu mchemba nawasiwasi na uwezo wake wakufikiri nakupambanua mambo, yaani mgomo wa madactari, namengine mengi yanayo sababishwa na serikali ya CCM hayaoni kuwa na msingi , hili la shabiki wa sisiem aliyepita kwenye mkutano wa CDM tena kuna uwezekano ni wao walimtuma na kupandikiza watu watakao mpiga ili CDM ionekane haifai..sisi wananchi tunaimani na CDM kama mtetezi wa haki zetu wanyonge, pia mkombozi wa rasilimali zetu kutoka mikononi kwa wanyonyaji.

Limezimwa kabla halijatema sludge!!
 
Mtu akitishiwa maisha anareport wapi, bungeni? Kama ndivyo, kwanini bunge halijadili kutekwa na kuteswa kwa Dr Ulimboka? Nchemba alikuwa wapi? Au kwa nini bunge halijadili vifo vya kushangaza Igunga na Arumeru?

CCM watapata shida sana na Nchemba. tusubiri.
 
Mnyika, Tundu Lissu, J. Mbilinyi, Zitto wameshindwa kutafsiri Kanuni za Bunge mara ngapi? Mbona wao hamuwaiti vilaza?

Ndugu katika Bwana hawa pro- Chadema huwezi kushindana nao wao wanalipwa pale mtaa wa UFIPA kwa kazi hii ndio maana unawaona masaa 24 wako kwenye hii mitandao kazi yao kubwa ni matusi na kashfa na kutetea hata kile kisichofaa kutetewa
 
Wakati anawatuma vijana wake kwenda kufanya fujo kwenye mkutano wa cdm hakuomba mwongozo ili bunge lijadili.amesha likologa sasa anaomba usaidizi. akae akijua kuwa dam ya kijana wa watu itadaiwa mikononi mwake.
 
ngoja tusubiri kuckia polisi wanamuita kwa ajili ya mahojiano coz naona kutishiana imekua fashion tumetoka kwenye matamko kutoka kila sehemu..
 
Back
Top Bottom