Nchemba tena - bungeni; adai kutishiwa kuuwawa na wabunge wa CHADEMA

hivi kile chama changu ccm kilikufa mwaka gani?na hiki kipya kilichochukua sura ya chama changu na kuvaa nguo za chama changu kilizaliwa mwaka gani?
na kama kile changu kilikufa msimamizi wa mirathi yuko wapi?
na kama hakuna msimamizi wa mirathi hata mahakama imeshindwa kutusaidia?
na nyie mnaojiita ccm japo si wenyewe mbona hata redio mlizorithi kila siku saa 11 na robo mnaweka wosia wa baba(mwasisi wa ccm yangu)ina maana mnatusikiliza tu sisi nyie mkiwa mnasikiliza mabuzuki?

kweli ukishangaa ya musa.................................
 
Hakuna asiyejua mko humu kuuaminisha ummma kwamba wana jf wote ni chadema,mmechemsha na ubongo wenu wa samamki,wauaji tunawajua ni chadema na sabau za kuua zinajulikana,mmetangaza mtamwaga damu na mmmeanza sasa,kila la heri na madaraka ya damu za watanzania.


Na ndugu katika BWANA wanalipwa hawa pale mtaa wa UFIPA ndio maana wao wako masaa 24 humu ndani kwa kazi hizo za kukashifu kutukana na kutetea hata uozo ambao hauteteki na kushabikia kila uongo wanaouanzisha
 
Pia Mwigulu amesema kuwa alitumiwa ujumbe mfupi wa vitisho kabla ya tukio hilo kutoka kwa namba ambazo baadaye zilikuja kuonekana kuwa ni za wabunge wa chadema baada ya kuwa traced. Na Spika makinda pia amesema namba hizo zimewasilishwa hata kwake na ni kweli ni za wabunge wa chadema.Amesema uchunguzi wa jehi la polisi ufanyike na wanaohusika wachukuliwe hatua madhubuti bila upendeleo.

My take:Just no comment!

Hiyo njia itamuumbua Nchemba.
 
Nchemba mimi nilishamzaru tangu siku ile alipochoma banda la kuku la M'kiti wa CCM wa kijiji kule Igunga!

Eti banda zima likateketea kwa MOTO lakini karatasi inayowatambulisha wahalifu ikabaki ikisomeka hivi "SISI CDM NDIYO TUMECHOMA BANDA HILI".

Nchemba ana tofauti gani na Kova na ile Movie ya kichaa wa Kenya?!
 
Ndugu katika Bwana hawa pro- Chadema huwezi kushindana nao wao wanalipwa pale mtaa wa UFIPA kwa kazi hii ndio maana unawaona masaa 24 wako kwenye hii mitandao kazi yao kubwa ni matusi na kashfa na kutetea hata kile kisichofaa kutetewa
Wewe unayejiita Mch. hata sikuelewi,wewe kama ni mkwel kwa unayozungumza unaushahidi na hayo malipo ya mtaa wa ufipa? muogope Mungu,kuwa mpambe lakn ujue Mungu anahesabu kila mawazo,maneno na matendo yako!upambe wako usikufanye kuwa muongo ili unogeshe stori na kutetea vitu usivovijua.
 
ccm mmekuwa kero ..Huyu mchemba anatuaibisha ,albino kibao wamekufa,mabwepande yamefanyika mengi,nyamongo n.k haya yote ni ninyi .ccm mna pepo gani?...................................??????????????????????????????????????
 
hivi kile chama changu ccm kilikufa mwaka gani?na hiki kipya kilichochukua sura ya chama changu na kuvaa nguo za chama changu kilizaliwa mwaka gani?
na kama kile changu kilikufa msimamizi wa mirathi yuko wapi?
na kama hakuna msimamizi wa mirathi hata mahakama imeshindwa kutusaidia?
na nyie mnaojiita ccm japo si wenyewe mbona hata redio mlizorithi kila siku saa 11 na robo mnaweka wosia wa baba(mwasisi wa ccm yangu)ina maana mnatusikiliza tu sisi nyie mkiwa mnasikiliza mabuzuki?

kweli ukishangaa ya musa.................................


Kaburi lake hili hapa

profilepic 2012.JPG

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Hakuna asiyejua mko humu kuuaminisha ummma kwamba wana jf wote ni chadema,mmechemsha na ubongo wenu wa samamki,wauaji tunawajua ni chadema na sabau za kuua zinajulikana,mmetangaza mtamwaga damu na mmmeanza sasa,kila la heri na madaraka ya damu za watanzania.

kweli wewe ni great thinker manake unaongea VICEVESA MKuu hongera.
 
Kutokana na tukio lililotokea kwenye jimbo la Iramba Kwa Mwingulu Nchemba kwa mkutano wa CHADEMA kuvamiwa na kikundi cha kihuni cha Mbunge wa Iramba Mwigulu Nchemba na kufanya vurugu zilizopelekea kujeruhiwa kwa watu na hatimaye kuuwawa kwa mfuasi wa CCM, inatoa fundisho kuwa CCM imeamua kutuchokoza na imetangaza vita na CHADEMA! Sasa LIWALO NA LIWE hatutakubali kuonewa wala kunyanyaswa na kikindi cha wahuni! Hizi siasa za Mwigulu ni za kihuni, hatuwezi kuzivumilia! Vyombo vya dola kama police pia vinahusika kwenye hili tukio na sasa wameitengeneza Story eti Viongozi wa CHADEMA ndo walianzisha vurugu kwa kumtukana Mwigulu na wananchi wakakasirika ndo vurugu zikatokea, kamando hivyo hizo mbona hakuna kiongozi wa chama aliyejeruhiwa? Na mbona mkutano uliendelea baada ya vurugu kwa Amani? Kuanzia sasa mikutano yetu tutailinda! LIWALO NA! LIWE,


Hivi wajameni huyu Madam Spika je aliruhusu hii hoja ya Mwigulu Mchimba ijadiliwe???.

Naomba mtujuze kilichoendelea.


MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
I knew kwamba it will reach a time CCM hawataelewa maana ya demokrasia na sasa wamefika na machungu mengi mno wako nayo sasa
 
Mimi naona upungufu wa akili anao huyu bwa mdogo! Kwa manufaa binafsi anasababisha layman kufa! Kweli nchi hii matatizo
 
ccm watu makini either hawapewi nafasi au hamna, lakini sitaki kuamini kuwa hamna nawafahamu wengi makini!
 
I am sure there are milions of tanzania who hate this guy not only me. His mouth is stinking!!
 
Unajua hawa jamaa kweli akili yao ina magamba.wenzao unpoona upepo unavuma vibaya unatakiwa uwe na busara ya kukaa kimya.atoe ushahidi basi ni wabunge gani?maana pasi hivyo ndio anaipush jamii iendelee kutafuta ukweli wa mabo haya.Na mwisho wa siku utawarudia wenyewe.Ukweli huwa haupindishwi, hata ipite miaka mingapi huwa lazima ujidhihirishe.Mipango ya kuua wanaifanya wenyewe halafu wenyewe wanawasingizia wengine.Hii akili hata kichaa hawezi kuitumia,ndio maana kichaa hata aweje, anakujua nyumbani kwake, na akiona gari analikwepa.CCM wanashida moja tu
" hawaamini kama watanzania wa leo wameelevuka"
nilimuona Mh. Stella Manyanya wakati tukio la Dr. Ulimboka lilipotokea akitamka bila hata chembe ya aibu na kujitafakari alikuwa akishika nafasi nyeti kiasi gani kwa taifa, kuwa CDM ndio wamemtesa na walitaka kumuua. Hapo ndipo nikapata picha ya taifa linakoelekea.

Tujikumbushe, wale waliomuua M/kiti wa Arumeru, waliomteka Ulimboka, Suala la Kiwia na Machemli, Igunga nk; japo vyombo vya haki (Mahakama) havijatoa hukumu, unadhani wahusika wa matukio hayo wako upande wa CDM au CCM????

 
kweli ccm mmepoteza dila sasa mnatumia mauaji ili mtawale shame on mwigulu
 
Etii, wakati chadema wapo singida, naye yupo huko, msaidizi wake ameuwawa, leo anaomba miongozo, hivi huyu migulu anaushirikiano na kichwa chake kweli? anatia shaka ni muhusika
 
hakuna asiyejua mko humu kuuaminisha ummma kwamba wana jf wote ni chadema,mmechemsha na ubongo wenu wa samamki,wauaji tunawajua ni chadema na sabau za kuua zinajulikana,mmetangaza mtamwaga damu na mmmeanza sasa,kila la heri na madaraka ya damu za watanzania.

ukiambiwa utoe ushahidi upo tayali mkuu!
Au unadhani huwezi kufahamika bcs unatumia keyboard??
 
Hivi hawa wanasiasa wanatambua kuwa hiyo michezo yao ya kisiasa ni mauti kwetu sisi wananchi wa kawaida?
 
Back
Top Bottom