Nchemba tena - bungeni; adai kutishiwa kuuwawa na wabunge wa CHADEMA

Curriculum Specialist

JF-Expert Member
Oct 8, 2007
2,731
749
Kutokana na tukio lililotokea kwenye jimbo la Iramba Kwa Mwingulu Nchemba kwa mkutano wa CHADEMA kuvamiwa na kikundi cha kihuni cha Mbunge wa Iramba Mwigulu Nchemba na kufanya vurugu zilizopelekea kujeruhiwa kwa watu na hatimaye kuuwawa kwa mfuasi wa CCM, inatoa fundisho kuwa CCM imeamua kutuchokoza na imetangaza vita na CHADEMA!

Sasa LIWALO NA LIWE hatutakubali kuonewa wala kunyanyaswa na kikindi cha wahuni! Hizi siasa za Mwigulu ni za kihuni, hatuwezi kuzivumilia!

Vyombo vya dola kama police pia vinahusika kwenye hili tukio na sasa wameitengeneza Story eti Viongozi wa CHADEMA ndo walianzisha vurugu kwa kumtukana Mwigulu na wananchi wakakasirika ndo vurugu zikatokea, kamando hivyo hizo mbona hakuna kiongozi wa chama aliyejeruhiwa?

Na mbona mkutano uliendelea baada ya vurugu kwa Amani? Kuanzia sasa mikutano yetu tutailinda! LIWALO NA! LIWE,
 
CCM ya leo haina think tank. Watu kama akina Mwigulu ndio wamepewa majukumu ambayo hawayawezi
 
Akiomba muongozo wa spiker Mwigula Mchemba amesema ametishiwa kuuwawa na baadhi ya wabunge wa Chadema kwa kumtumia sms akilinganisha na tukio la kuuwawa kwa kijana wa uvccm iramba.
 
Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa iramba ameomba mwongozo wa eti bunge lisitishe huduma za leo bungeni ili wajadili kifo cha yule mfuasi wa CCM aliyeuwawa huko Iramba, Nchemba wewe ndio wa kulaumiwa kwani tunajua fika kuwa wewe ni GAIDI na ugaidi wako umejionyesha kwa kuwalipa vijana posho ya 10,000/= pamoja na kuwanywesha pombe na kuwakodia Hiace ili wakafa fujo kwenye mkutano wa CDM, SHAME ON YOU MWIGULU.

WATCH OUT! AUAE KWA UPANGA ATAUAWA KWA UPANGA PIA.
 
Anatetemeka, na kuanza kujitetea, maana anajua kuwa soon ukweli utabainika na yeye atakuwa matatizoni!
 
Tumemsikia...anajifanya Msomi kumbe hata kanunu hazijui.. eti anaomba hoja binafsi na ya dharura, naona anatapatapa tu. muuaji anajistukia. burn karudi
 
Kazi inayotakiwa kufanywa na polisi anataka bunge ilifanye kweli kilaza ni kilaza tu hata uwe na first class ya uchumi we kilaza tu au labda alikuwa anatafuta mbeleko ya bunge???
 
Anatapa tapa hajui atendalo, nchemba auawe kwa kipi hasa alicho nacho!!!! Au ndio mpango wa kuzima suala la dr. Ulimboka kidesign?
 
Ataka shuhuli za bunge zihairishwe wajadili mauaji yaliyotokea singinda kama jambo la dharura kwa taifa, adai kutishiwa kifo na wabunge wa chadema kwa njia ya sms.
My take: Kweli si si em wamefilisika kisiasa mpaka wanafikia hatua ya kutumia mauaji kama mtaji wao wakisiasa, nahuyu mchemba nawasiwasi na uwezo wake wakufikiri nakupambanua mambo, yaani mgomo wa madactari, namengine mengi yanayo sababishwa na serikali ya CCM hayaoni kuwa na msingi , hili la shabiki wa sisiem aliyepita kwenye mkutano wa CDM tena kuna uwezekano ni wao walimtuma na kupandikiza watu watakao mpiga ili CDM ionekane haifai..sisi wananchi tunaimani na CDM kama mtetezi wa haki zetu wanyonge, pia mkombozi wa rasilimali zetu kutoka mikononi kwa wanyonyaji.
 
Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa iramba ameomba mwongozo wa eti bunge lisitishe huduma za leo bungeni ili wajadili kifo cha yule mfuasi wa CCM aliyeuwawa huko Iramba, Nchemba wewe ndio wa kulaumiwa kwani tunajua fika kuwa wewe ni GAIDI na ugaidi wako umejionyesha kwa kuwalipa vijana posho ya 10,000/= pamoja na kuwanywesha pombe na kuwakodia Hiace ili wakafa fujo kwenye mkutano wa CDM, SHAME ON YOU MWIGULU.

WATCH OUT! AUAE KWA UPANGA ATAUAWA KWA UPANGA PIA.


Ndugu katika bwana TUMIKA UTANZANIA acha tabia za kutumikia watu na penda kusimama kwenye ukweli utabaki huru
 
Anatafuta kura.

Kwanini hakwenda kulala msibani na asubiri mpaka wazike ndo aje bungeni?
Au kuna baridi sana kipindi hichi?
 
Kazi inayotakiwa kufanywa na polisi anataka bunge ilifanye kweli kilaza ni kilaza tu hata uwe na first class ya uchumi we kilaza tu au labda alikuwa anatafuta mbeleko ya bunge???

kuna haja ya kupitia elimu ya vyuo vikuu vyetu si amini kama huyu ana degree kweli hana tofauti na mtu asieenda shule kabisaaa
 
  • Thanks
Reactions: GIB
Unajua hawa jamaa kweli akili yao ina magamba.wenzao unpoona upepo unavuma vibaya unatakiwa uwe na busara ya kukaa kimya.atoe ushahidi basi ni wabunge gani?maana pasi hivyo ndio anaipush jamii iendelee kutafuta ukweli wa mabo haya.Na mwisho wa siku utawarudia wenyewe.Ukweli huwa haupindishwi, hata ipite miaka mingapi huwa lazima ujidhihirishe.Mipango ya kuua wanaifanya wenyewe halafu wenyewe wanawasingizia wengine.Hii akili hata kichaa hawezi kuitumia,ndio maana kichaa hata aweje, anakujua nyumbani kwake, na akiona gari analikwepa.CCM wanashida moja tu
" hawaamini kama watanzania wa leo wameelevuka"
 
who is she oorr sorry who is it? hahahaaa kingeleza changu weee cha kuombea ugoko mie eeee
 
  • Thanks
Reactions: FJM
cdm wautoe huo mkanda tumuumbue huyo mzinzi muuaji kwa nini akihusika yeye lazma kuwe na mauaji hawezi politics huyo na hataweza kushindana na mnyika naona kauli ya dhaifu bado inawatesa na itaizidi kuwatesa
 
yupo usingizini, ni usingizi wa mang'amun'gamu. Huyo ni mtuhumiwa namba moja wa upangaji mauaji yakiwemo ya mabwepande
 
Back
Top Bottom