NCCR: PhD Scholarship

Maxence Melo

JF Founder
Staff member
Feb 10, 2006
4,235
13,432
Wakuu hebu iwahi hii ipo kwenye attachment, nimechelewa kuiweka (ahsante kwa aliyenitumia) lakini deadline bado, apply haraka before April 30, 2010
 

Attachments

  • PhD_Scholarship_Announcement_RP14-Tanzania_final.pdf
    118.5 KB · Views: 177
hahaha, nilijua ni NCCR chama. ningefurahi kusikia siku moja, chadema, NCCR, Cuf au hata sisiemu inatoa scholarship watu wasome. wangeweka hata scholarship competition fulani walau kuhamasisha vijana wetu wasome.
 
Back
Top Bottom