Bukoba Finest
JF-Expert Member
- Jul 13, 2023
- 250
- 314
Leo baada ya TFF kutoa takwimu ya timu ambazo zimesajili wachezaji ( CAF). Watu wengi hawakuelewa baada ya kuona Yanga wameandikiwa HAWAJASAJILI.
Ipo hivi Yanga ameishasajili wachezaji kwa maana ya kufikia makubaliano baina ya pande zote mbili (Team na mchezaji).
Kilichobaki ni kuwasajili hawa wachezaji kwenye mfumo wa TFF na CAF kwaajili ya kushiriki Klabu Bingwa barani Afrika msimu ujao.
Kwanini Yanga hajawasajili mpaka sasa? Deadline ni tarehe 30 kwa maana bado siku kumi Yanga bado ana muda wa kuwafanyia assessment wachezaji wake kabla ya kuwasajili kwenye huo mfumo ili kujihakikishia anasajili wachezaji ambao wameonesha uwezo wa kiushindani katika michuano hiyo.