Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

I appreciate your concern Mkuu. Be blessed.

The bad thing about my story ni kuwa "naumizwa sana na mambo ambayo ni mwiko kusema."

Kuna moments huwa nasikia uchungu mpaka kifua kinawaka moto, saa nyingine mpaka nalia, na kujifariji mwenyewe. Highly probable this is my Fate..!

I won't kill myself though.
Ni mambo ya kishirikina umepewa mwiko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Changamoto ni hapa,aliniambia nitakuwa nafanya kazi ya kutunza miche ya matunda na bustani pia kuisambaza kwa wateja.

Kisochoridhisha ni kwamba hana hata housegirl,hivyo nimekuwa houseboy na housegirl pia,nimekuwa ndo nasqmbqza miche yake,na ana mtoto wa kiume 20yrs yupo kama mental akili hazipo sawa alifeli std 7 na karudia QT mara 4 na mara hii kapata 0 tena,hapq kanifanya mwalimu natakiwa kumfundisha kuandika,english,hesabu na stadi za maisha,mbaya hata kuongea hawezi hivyo natakiwa kumfundisha but no makubaliano ya kuwa mwalimu wala mfanyakazi za ndani na malipo ni yaleyale 50k.

Imagine kufundisha mtoto mwenye matatizo ya akili muda wote lawama tu.

Na usikosee kitu sasa utasemwa hadi basi,ndo nikaelewa kwann alinihitaji,kumbe ili niwe mwalimu wa mwanae.


Kingine siruhusiwi kutoka getini,imqgine nimekuja dar ili niwe nasaka na fursa zingine halafu mtu akwambie uwe ndani tu chance ya kufanikiwa ni ndogo.

Now nasoma computer kwa kuwa tu na mwanae anasoma hapa na najua anaexpect mwanae afaulu through mimi licha ya changamoto za mtoto mwenyewe.


HII NDO LAST SMS YAKE NIKAMJIBU KOMAA TU CHANGAMOTO HAZIKOSEKANI...
Ulimjibu simple tu bi dada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika best ya thread zangu za JF ...

Haya maneno ni kila siku yanajirudiarudia kwenye akili yangu tangu nimeusoma huu uzi

Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana


Allah Amfanyie wepesi mja wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom