Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

It's very unfortunate kijana, member mwenzetu kujitoa uhai.

For some reason, sijawahi kuona uzi wake hata siku moja hadi leo. Naumia kutomsoma mapema.

Pumzika kwa amani mkali.
 
Sio wote tumeona.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mfano mimi sijaiona na sikuwa ninajua jamaa amejinyonga, all in all R.I.P Mpauko kama uliikosa amani duniani we pray akaipate huko aendapo, if at all there were no other options to explore death is inevitable

Na kwa wengine wenye matatizo, seek help & seek God, ukitegemea binadamu wenzako wakupe furaha ama amani hautakuwa nayo utaona unanyanyaswa, unateswa n.k na kusababisha lawama kwa watu wengine, kma nilivyosoma hapo juu kuna lawama zinaelekezwa kwa mama aliyeamua kukaa naye

Mpauko alishakata tamaa na option yake ilibaki moja tuu kujiua, nimesoma comments za unafiki, lawama n.k mpauko alipata support ya watu wengi sana, wamejitolea kwa mali na hali he was lucky.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It's very unfortunate kijana, member mwenzetu kujitoa uhai.

For some reason, sijawahi kuona uzi wake hata siku moja hadi leo. Naumia kutomsoma mapema.

Pumzika kwa amani mkali.

Aiseee ni kama Mimi. Mungu atusamehe sana. Tunasoma nyuzi za kula tunda tunashindwa kuona nyuzi zinazohitaji misaada ya taaluma zetu.

Tatizo la kusikia? Tena alishapambana kusoma ktk curriculum ya kawaida.. Angehitaji boost kidogo sana kwenye curriculum yao.

Pia kitabibu, tatizo la kusikia lina solutions zake na maisha yanaenda with little modifications..

Mungu anisamehe sana

Daah!!
 
Maisha yana changamoto nyingi mno ukijiona una matatzo unakutana na kijana kama mpauko hajawahi kukaa kwa amani sehemu kubwa ya maisha yake. Kuna watu wamekuja duniani kutufundisha tuishi kwa upendo na kujaliana....

Mwendo umeuchapa na kupitia kwako kuna elimu watu wamepata. Atleast kama huna cha kumchangia mtu bora kukaa kimya kama humjui kweli.

Apumzike kwa amani na Allah amtendee kadri ya mahitaji yake huko.
 
Ni kwa namna anavyoandika threat zake na kwa namna anavyopangilia mawazo hapo mpaka pale na jinsi alivyokuwa na kumbukumbu.

Nilihisi ni kama kitabu.

Na kama mtu kama huyu mwenye weledi huu anakosa kazi na mpaka anafikia kujiua kwa kweli siamini.

Tupo wengine tunafikiria sana na kupambanua mambo. kama anaweza kuunganisha sentensi na misamiati na nahau ndani ya threat zake kiufundi namna hii.

Sijui

Ila msinilaumi kwa kuwaza kwangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom