Nawezaje kumtambua.......?

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Apr 25, 2012
407
75
Habari za siku mzuri ya ijumaa wanaJf, nafikiri mungu kawajalieni afya njema miongoni mwenu, Leo naingia kwa kutaka kupewa msaada wa mawazo ambao ndio thamani kubwa kuliko ule wa fedha. Shida yangu kutaka ni namna gani naweza kumtambua msichana mwenye mapenzi ya kweli kwangu ili niweze kuepuka yale mapenzi yanayoitwa ya fb na kuumia maishani.
Usithubutu kumdharau mwenye shida.
 
Relax relax relax.........usiwe na papara, ishi kama mwanaume kiongozi na wala usimtege wala usi-act maisha......Ishi uonavyo inafaa. Wewe si mtu mzima bana utajua tu baada ya muda
 
Jipe muda na wakati huo kaaa karibu naye sana. Usiishi naye maisha ya kuigiza, kuwa natural, ukiwa na shida mwambie na kumshirikisha na ukiwa huna shida fanya hivyo hivyo. Utamgundua tu maana tabia ni kama kikohozi, hakifichiki.
 
Habari za siku mzuri ya ijumaa wanaJf, nafikiri mungu kawajalieni afya njema miongoni mwenu, Leo naingia kwa kutaka kupewa msaada wa mawazo ambao ndio thamani kubwa kuliko ule wa fedha. Shida yangu kutaka ni namna gani naweza kumtambua msichana mwenye mapenzi ya kweli kwangu ili niweze kuepuka yale mapenzi yanayoitwa ya fb na kuumia maishani.

Ni ngumu sana kumjua mpenzi wa kweli kwa nguvu na uwezo wako wa kibinaadamu, mshirikishe Mungu naye atakuonesha yupe mkweli na yupi msanii.
 
Mimi naona pia umri wa mtu unaweza kuchangia kwa kiasi gani anaweza kuwa na upendo unaohitaji.. just assume ni mwanachuo halafu hana mkopo!
 
Habari za siku mzuri ya ijumaa wanaJf, nafikiri mungu kawajalieni afya njema miongoni mwenu, Leo naingia kwa kutaka kupewa msaada wa mawazo ambao ndio thamani kubwa kuliko ule wa fedha. Shida yangu kutaka ni namna gani naweza kumtambua msichana mwenye mapenzi ya kweli kwangu ili niweze kuepuka yale mapenzi yanayoitwa ya fb na kuumia maishani.
Usithubutu kumdharau mwenye shida.
we mwambie alipie bili,kwa mfano mkitoka outing n.k!!hicho kipimo tosha
 
Kwanza inatakiwa na wewe mwenyewe uwe na mapenzi ya kweli then ndo utampata mwenye mapenzi ya kweli, otherwise ni kwa rehema za Mungu na kwa kukesha na kuomba
 
Kwanza inatakiwa na wewe mwenyewe uwe na mapenzi ya kweli then ndo utampata mwenye mapenzi ya kweli, otherwise ni kwa rehema za Mungu na kwa kukesha na kuomba

Ni kweli kabisa,ili upate mwenye mapenzi ya kweli,lazima na wewe uwe na mapenzi ya kweli.
 
inategemea unataka mapenzi ya kweli ya % ngapi. Manake mapenzi ya btwn 90% and 100% HAKUNAGA.
wengi wetu tuna mapenzi ya kuigiza ambayo yamelalia ktk 40% to 50%, range ambayo wengi wetu ni wahanga.
Ni nadra sana kupata mapenzi ya kweli ktk range ya 80% and 89%. Ukosefu wa maadili na kumkimbia Mungu na kumkumbatia shetani ndo sababu kuu ya sisi kukosa hilo daraja la 80% na 89%. Mapenzi ya kweli yanaanzia KWAKO! Kama huna mapenzi ya kweli USITEGEMEE mwenzi wako awe nayo. Hiyo itakuwa CHICKENSHIT kama siyo BULLSHIT!!

source ya takwimu:genderbalance.co. tz
 
Ukimpata utamtambua tu na hakutakuwa na sababu ya kuulizia kama ndiye au siye.

"Wide Awake"

I'm wide awake
I'm wide awake

I'm wide awake
Yeah, I was in the dark
I was falling hard
With an open heart
I'm wide awake
How did I read the stars so wrong?
I'm wide awake
And now it's clear to me
That everything you see
Ain't always what it seems
I'm wide awake
Yeah, I was dreaming for so long

[Pre-Chorus]
I wish I knew then
What I know now
Wouldn't dive in
Wouldn't bow down
Gravity hurts
You made it so sweet
'Til I woke up on
On the concrete

[Chorus]
Falling from cloud 9
Crashing from the high
I'm letting go tonight
Yeah, I'm falling from cloud 9

I'm wide awake
Not losing any sleep
I picked up every piece
And landed on my feet
I'm wide awake
Need nothing to complete myself, no

I'm wide awake
Yeah, I am born again
Out of the lion's den
I don't have to pretend
And it's too late
The story's over now, the end

[Pre-Chorus]
I wish I knew then
What I know now
Wouldn't dive in
Wouldn't bow down
Gravity hurts
You made it so sweet
'Til I woke up on
On the concrete

[Chorus]
Falling from cloud 9 (it was out of the blue)
I'm crashing from the high
I'm letting go tonight (yeah, I'm letting you go)
I'm falling from cloud 9

I'm wide awake
Thunder rumbling
Castles crumbling
I'm wide awake
I am trying to hold on
I'm wide awake
God knows that I tried
Seeing the bright side
I'm wide awake
But I'm not blind anymore...

I'm wide awake
I'm wide awake

[Chorus]
Yeah, I'm falling from cloud 9 (it was out of the blue)
I'm crashing from the high
You know I'm letting go tonight (yeah, I'm letting you go)
I'm falling from cloud 9

I'm wide awake
I'm wide awake
I'm wide awake
I'm wide awake
I'm wide awake

Habari za siku mzuri ya ijumaa wanaJf, nafikiri mungu kawajalieni afya njema miongoni mwenu, Leo naingia kwa kutaka kupewa msaada wa mawazo ambao ndio thamani kubwa kuliko ule wa fedha. Shida yangu kutaka ni namna gani naweza kumtambua msichana mwenye mapenzi ya kweli kwangu ili niweze kuepuka yale mapenzi yanayoitwa ya fb na kuumia maishani.
Usithubutu kumdharau mwenye shida.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom