Nawezaje kudumu na binti niliyemtoa bikra mpaka ndoa?

Black Pundit

Senior Member
Dec 24, 2022
147
132
Habari za weekend wakuu...

Binafsi tangu siku za nyuma nilijiwekea malengo ya kumuoa Binti ntakaemtoa bikra mwenyewe....
Tayari Lengo langu limetimia but Je?Ntawezaje kudumu nae na nifanye Nini baada ya hz Few days kuelekea kweny long term yangu Juu yake?

Nawasilisha Wakuu
 
Nisikilizeni kwa umakini Wavulana wa Dar akina Juniors, bikra ya Ke haihusiani kabisa na tabia njema ya Mke Mwema katika ndoa 75%.

Katika bikra 3 za Ke nilizobikiri wote walikula kona.

Kwani si Mke Mwema hutoka kwa BWANA, sasa kwanini ulazimishe kisicho riziki ikiwa hakiliki?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
hakikisha unamtimizia mahitaji yake, hakikisha unamfikisha kitonga my friend akikutana na mtu akamfikisha kilele wakat wewe unampa juujuu utamkosa
 
Nisikilizeni kwa umakini Wavulana wa Dar akina Juniors, bikra ya Ke haihusiani kabisa na tabia njema ya Mke Mwema katika ndoa 75%.

Katika bikra 3 za Ke nilizobikiri wote walikula kona.

Kwani si Mke Mwema hutoka kwa BWANA, sasa kwanini ulazimishe kisicho riziki ikiwa hakiliki?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Yani huyu anaamini bikra is everything Bora umemwambia hivyo Ndoa zina mambo mengi Sana.
 
katapila moja tu huchonga barabara ila baada ya hapo hupita magari lukuki sijui umenielewa mkuu!
 
Back
Top Bottom