AmKATRINA
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 414
- 366
Habari za wakati huu wanafamilia wote wa Jamii Forums, hasa wa jukwaa hili la MMU.
Nimekuja kuleta tatizo langu kwenu hapa jukwaa ili kama kuna mtu/daktari/mtoa ushauri/mwanasaikolojia atakayeweza kunisaidia basi na aweze kunisaidia. Japo ni tatizo la aibu au la fedheha, lakini nina imani ninaweza pata msaada angalau nikafanikiwa kumaliza hili tatizo kama sio kulimaliza kabisa.
Historia yangu inaanzia miaka kama 5 iliyopita, nilipata mwanaume ambae kiukweli tulipendana sana, ingawa alikuwa amenizidi umri, hilo sikulizingatia kwa sana.
Tulianza mapenzi na baada ya muda wa kama miezi 4 akaanza kunilazimisha aniingilie kinyume na maumbile nami kwa kuwa nilikuwa na mapenzi nae, nilikubali japo awali sikutilia maanani kama tatizo hili litakuwa kubwa.
Basi, tukawa tunaendelea na mchezo huo mpaka nikawa nazoeazoea, ikafika mahali nikawa nikichepuka, basi lazima huyo mwanaume wa pembeni ninaechepuka nae nimlazimishe aniingilie nyuma.
Ikawa tabia yangu na kiukweli niliifurahia ile hali japo nilitaka kuacha, ila naogopa kuharibu mahusiano yangu. Ikafikia hatua nachoka kufanya hayo ila najilazimisha tu.
Shida inakuja hivi, nataka niachane na hii hali na pia niachane na huyo mwanaume maana naweza jikuta naharibikiwa sana. Mwanaume amesema nikijaribu kumuacha, atanivurugia mahusiano yangu mapya kila niendapo.
Pia anadai eti ana video zangu wakati akinitendea hiko kitendo (hapo naweza nisiamimi maana hatujawahi kushika simu au kujirekodi popote wakati wa tendo).
Msaada, nifanyaje?
Nikamshtaki au nipambane nae kiume? Kwanza nitamshtaki kwa nani?
Kupambana nae najua aidha nitashinda au nitaharibu kila kitu.