Nawatakia weekend ya bien

chetuntu

R I P
Jan 10, 2011
949
109
Wapendwa wanajf jamvi la MMU, nawatakia wkend njema. Kwa wenye kugonjwa wapone haraka, wenye matatizo mbalimbali Mungu awasaidie . Na wazima awazidishe heri. Ntakuwa safarini Kazuramimba. Merci mingi !!
 
haya chetundu, weekend njema na wewe!!!!
salimia babu huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom