- Thread starter
- #21
Safar njema..soki ozali na mwa ntango tokoki kosolola bien mwa moke.haha.
hahaa mobali ya ngenge! Usichange sana bdo juu najifunza
Safar njema..soki ozali na mwa ntango tokoki kosolola bien mwa moke.haha.
Yes kikubwa cha 'engo' sio 'raundi'
Safar njema..soki ozali na mwa ntango tokoki kosolola bien mwa moke.haha.
Thanks, Chetuntu Usisahau Chandarua chenye dawa:roll:
Na matundu madogo, kuna mbu sio wa malaria wanapenya tu.
Wapendwa wanajf jamvi la MMU, nawatakia wkend njema. Kwa wenye kugonjwa wapone haraka, wenye matatizo mbalimbali Mungu awasaidie . Na wazima awazidishe heri. Ntakuwa safarini Kazuramimba. Merci mingi !!
Asante Sana Chetuntu,safari njema wasalimie wote huko.