Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Kazi njema na weekend njema, tufanye mazuri na tuwafanyie watu mazuri kwani ukijifanyia mazuri siku ukifa unaondoka nayo ila ukiwafanyia watu watabaki nayo all the time.
sawa....
sawa....
karibu home....mi na bebii tuna babekyu....PJ atakuwepo...
Kaka za masiku...kale ka gazeti ketu vipi? Kumeki headlines hadi tununue kama kina wema? Ama ni free and fair selection.
nasikia baridi..
njoo nitakukumbatia.....
Kazi njema na weekend njema, tufanye mazuri na tuwafanyie watu mazuri kwani ukijifanyia mazuri siku ukifa unaondoka nayo ila ukiwafanyia watu watabaki nayo all the time.
sidanganyiki,,,
asante....wewe una mpango gani wa jinsi ya kuitendea haki w/end....?
nasikia baridi..
Sisi kesho tuna harusi na mimi ni M/kiti wa kamati ya vinywaji..
Naomba ushauri wako mkuu maana vyote vinatokea w/end hii uliyotuasa..