Nawatakia siku njema wana JF wote

Wikiendi hii nitalia kweli kwa ajili ya mazambi yangu, Yaani nimeikamia sana kurudi kwa Mungu, nitataja mazambi yangu yote hazarani tena kwa mpangilio wa kialfabeti.
hahhaha naomba nisiwepo kwa sababu kuna alfabeti ukizifikia itakuwa ni kiama . hahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom