Nawatakia siku njema wana JF wote

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Kazi njema na weekend njema, tufanye mazuri na tuwafanyie watu mazuri kwani ukijifanyia mazuri siku ukifa unaondoka nayo ila ukiwafanyia watu watabaki nayo all the time.
 
Kazi njema na weekend njema, tufanye mazuri na tuwafanyie watu mazuri kwani ukijifanyia mazuri siku ukifa unaondoka nayo ila ukiwafanyia watu watabaki nayo all the time.

Sisi kesho tuna harusi na mimi ni M/kiti wa kamati ya vinywaji..

Naomba ushauri wako mkuu maana vyote vinatokea w/end hii uliyotuasa..
 
Wikiendi hii nitalia kweli kwa ajili ya mazambi yangu, Yaani nimeikamia sana kurudi kwa Mungu, nitataja mazambi yangu yote hazarani tena kwa mpangilio wa kialfabeti.
 
Sisi kesho tuna harusi na mimi ni M/kiti wa kamati ya vinywaji..

Naomba ushauri wako mkuu maana vyote vinatokea w/end hii uliyotuasa..

daa..ngoja ni ku pm kwa sababu kuna watu hapa watazamia kwenye sherehe hio,,wakishajua tu direction ujue imekula kwako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom