Nauza Toyota VX na Land Rover

Juliet mbona umeingia mitini au wewe ni dalali nini? show your response please! wadau tunataka kujua BEI, KM ilizotembea, CC ngapi? Kuendeshwa na mwanamke sio kigezo ,kwani akiendesha mwanamke injini haitembei au tairi hazizunguki?
 
Duu bongo bana! hatuaminiani ati! huyo mwanamke kakukosea nini jamaa yangu? wewe si uuze tu gari mpaka uchanganye genders?
 
Labda kama hili....

Landcruiser001.jpg
 
ANAUZA GALI????JULIET JOHN ANAUZA GALI SIO KAMA KONA NA JOLLY KULE NI NAFUU,JULIET YEYE ANAUZA GALI mh;;
 
Back
Top Bottom