INAUZWA Nauza Refrigerator aina ya FrigoGlass, Niko Mwanza

Jiran mwema

Senior Member
Nov 7, 2015
164
103
Habari Wanajamvi!

Wacha niende Moja kwa Moja kwenye Maada yangu.

Nina shida ya kifedha, hivyo nalazimika kuuza friji yangu aina ya frigo.

Glass(650Ltrs)nimeitumia miezi mitano tu, kwamaana hiyo Bado ni mpya na iko kwenye hali nzuri.

Bei ni Tshs 650,000/=

Kwa mawasiliano nicheki 0745 493961

Screenshot_20240112-232407_1.jpg
 
Back
Top Bottom