Nauza Kiwanja!!!

Weka bei mkuu!

Wewe ni wa ajabu kweli kweli. Ameisha kwambia hicho kiwanja kina matatizo ya maji kama jirani yake anaingia nyumbani kwake kwa boti na wewe sasa unaulizia bei ununue hicho kiwanja ili uwe unaingia kwa meli au?

Tiba
 
andaa na life jackets kaka! itasaidia kwa sisi wenye watoto wadogo!
 
Wewe ni wa ajabu kweli kweli. Ameisha kwambia hicho kiwanja kina matatizo ya maji kama jirani yake anaingia nyumbani kwake kwa boti na wewe sasa unaulizia bei ununue hicho kiwanja ili uwe unaingia kwa meli au?

Tiba
Kiwanja hakina shida sana. Kiko babarani na ukiwa na feri lako hata vibaka wanakuona kwa darubini tu.
 
Subiri wakati wa kiangazi utawapata tu na ufanye mauzo kupitia kwa dalali !
 
Ni maeneo gani hayo kaka?....toa maelezo ya kutosha watu wakamate ardhi hivyo hivyo, tutajenga kibondebonde kama jamaa zetu wa kuleee...!
 
Taja bei mkuu,hapo mbona kazi rahisi sana,nakuja na dogo mmoja tu wa udachini anayesomea Flood Management(na wala si mtaalamu aliyebobea) ananimalizia kila kitu na wewe uliyeniuzia ukirudi wala hutaamini kama palikuwa kwako..
 
kwa sasa nina hela ya kununua cm tu
hiyo iliyobaki kwenye pochi langu hapo angalia kama inatosha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom