Nauza kiwanja+ nyumba-kigamboni

KasomaJr

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
367
139
Habari wana-JF.
Ninauza kiwanja kina nyumba ndogo pembeni yenye chumba kimoja, dinning na choo pamoja (selfcontained). Nyumba ndogo haijakamilika, bado paa na finishing zingine kama milango na madirisha, sakafu na decoration zingine. Eneo la wazi ni kubwa kuweza kujenga nyumba ya bedroom 3-4, toilet& shower, dinning na sitting room na bado kutakuwa na eneo la parking.

Eneo: Ni mji mwema, Ungindoni.

Vielelezo: Vielelezo vyote vya umiliki ninavyo.

Dokezo:Mtu mwenye nia ya dhati ani-pm kwa maelekezo zaidi.

Asanteni.
 
Mkuu size ya plot ni square meter ngapi? Je si katika lile eneo planned for new Kigamboni city?
 
Angalizo la suala la Mjimpya. Si busara kununua kiwanja wala Nyumba kwenye maeneo hayo.
 
Angalizo la suala la Mjimpya. Si busara kununua kiwanja wala Nyumba kwenye maeneo hayo.

Asante kwa post yako mkuu, lakini ni kutokuelewa tu, so what will happen kwa wenye nyumba na maeneo yao wanayoyamiliki kihalali. Unadhani maisha ya kawaida hayaendelei kule, hapa ni kiw ana maana watu hawauzi wala kununua? By the way, hata kama kuna issue hiyo kuna suala la compansation ambalo personally siwezi kusubiri hiyo coz nina plans zingine nafanya.....jaribu kufikiri nje ya box kidogo, utapata picha.
 
huko c ndio anakotaka kujenga bush?

Acheni ndoto za alinacha...... Bush Bush, wapi na wapi! Hi project yenyewe wanayodai kuifanya hata pesa zenyewe hawana, Us$1,7Bilion unadhani mchezo mdogo? ipo wapi miradi ya Magari yaendayo kwa kasi. Anyway eneo ni hilo lakini stop order ilitolewa na imepita muda, watu wanaendelea na business as usual, by the way, hata kama ni hivyo, still kuna compansation so long una legal documents zote zinazokutambulisha wewe ni mmiliki wa eneo husika.
 
bei.....?
ukubwa wa kiwanja.....?
picha za kiwanja.....?
vielelezo gani vya umiliki unavyo ie tittle or else......?
give us more details na sio watu tu ku pm
 
Asante kwa post yako mkuu, lakini ni kutokuelewa tu, so what will happen kwa wenye nyumba na maeneo yao wanayoyamiliki kihalali. Unadhani maisha ya kawaida hayaendelei kule, hapa ni kiw ana maana watu hawauzi wala kununua? By the way, hata kama kuna issue hiyo kuna suala la compansation ambalo personally siwezi kusubiri hiyo coz nina plans zingine nafanya.....jaribu kufikiri nje ya box kidogo, utapata picha.

Haa haa haaa, wee ulieleewa mbona umeshindwa kujenga hoja za kujibu concern zao wachangiaji hapo juu. yaani mtu anunue then asubiri kuwa compensated na amount ambayo haijui-kaweke tangazo lako kwa wacheza gambling huko ndo wanaoweza kulicheza siyo hapa kwa great thinkers!
 
Man! usiwasemee watu my friend, jenga hoja ujibiwe. Hivi iwapo nataka kuhama may be nje ya nchi na sina mpango wa kurudi hivi karibu, nikae nisubiri serikali yako ya JK ipate pesa za mikopo ili wanipe compasantion? ikiwa nimepungukiwa kiasi cha fedha ili kukamilisha mipango yangu fulani, nisubiri compansation mpaka ifike? hebu fikiri upya.....Zidane then urudi hapa.
 
bei.....?
ukubwa wa kiwanja.....?
picha za kiwanja.....?
vielelezo gani vya umiliki unavyo ie tittle or else......?
give us more details na sio watu tu ku pm

Bei............siwezi kuanika hapa. Hii itakuwa kwa serious person na atani-pm kwa majadiriano
Ukubwa: 40x27
Picha: Sina picha kwa sasa kwa kuwa laptop yangu ili crash, nika loose documents zote, but soon i'll take them for reference/display.
Umiliki: Hati ya kiwanja/ Mauziano...title deed haipo
 
Man! usiwasemee watu my friend, jenga hoja ujibiwe. Hivi iwapo nataka kuhama may be nje ya nchi na sina mpango wa kurudi hivi karibu, nikae nisubiri serikali yako ya JK ipate pesa za mikopo ili wanipe compasantion? ikiwa nimepungukiwa kiasi cha fedha ili kukamilisha mipango yangu fulani, nisubiri compansation mpaka ifike? hebu fikiri upya.....Zidane then urudi hapa.

Fikirisha ubongo wako mkuu!
 
Fikirisha ubongo wako mkuu!
Join Date: 9th April 2011
Posts: 25
Thanks:4
Thanked 1
Rep Power: 0

Hapo unapaonaje! Nadhani hilo linatosha kujua nini kinakusumbua kijana. Soma kwanza posts za watu, jifunze kujenga hoja.

By the way watu serious wame respond positively: Ila kwa wale wanaojifunza kuandika kujibu...majibu ndo kama haya....kuna safari ndefu sana.
 
Asante kwa post yako mkuu, lakini ni kutokuelewa tu, so what will happen kwa wenye nyumba na maeneo yao wanayoyamiliki kihalali. Unadhani maisha ya kawaida hayaendelei kule, hapa ni kiw ana maana watu hawauzi wala kununua? By the way, hata kama kuna issue hiyo kuna suala la compansation ambalo personally siwezi kusubiri hiyo coz nina plans zingine nafanya.....jaribu kufikiri nje ya box kidogo, utapata picha.

hahah!, HUKO WATU HAWARUHUSIWI KUJENGA WA KUPANDA MAZAO YA KUDUMU KAMA MINAZI na MICHUNGWA n.k
 
Ungindoni ukinunua ni at your own RISK.kama unataka kununua eneo kigamboni ambalo haliko surveyed ni kuanzia Geza ulole kwenda mbele,na huko bei inaanzia 1mil per Acre moja.

Muuzaji anajua fika kuna uwezekano wa kuwa compensated ,mimi nimeshapata tatizo kama hilo,kwa kawaida serikali inatoa pesa kidogo sana,mbili kufanya uhamisho ukisha kaa mahali huwa inauma sana ,emotional loss,
Simzuii JF member kununua ,ila ni bora kama utanunua uweke biashara na siyo kuishi kimakazi,kwani kuna viwanja vinapimwa tayari kwa kuuzwa na serikali kwa 6000 Tzs per Square meter.ni umbali wa km 7 hivi kutoka eneo la ungindoni/mjimwema.

Muuzaji ukitaka kupata wateja makini jaribu kupata hati milliki ya serikali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom