Plot4Sale Nauza kiwanja kipo Kidete, Kibugumo, Kigamboni

uzeebusara

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
657
513
Habari wana jukwaa!

TAARIFA: KIWANJA KIMESHAUZWA

Note: admin sijaelewa kwa nini tangazo la kwanza mmelifuta. Tafadhali naomba msifute au laah niambieni nakosea wapi

Nauza kiwanja changu kipo eneo la Kidete, Mtaa wa Kibugumo, Kigamboni. Kiwanja kinafikika kirahisi sana kwa anefahamu njia ya Gezaulole, ukivuka shule ya Kibugumo kabla ya kufika kituo cha mafuta cha Puma unashuka na barabara ya mkono wa kushoto inayoenda baharini na nyumba za serikali. Mita 350 kutoka nyumba za serikali na mita 650 toka baharini

Ukubwa wa kiwanja ni mita za mraba 450, umeme, maji na barabara vipo. Umbali toka Ferry ni km 8

Bei mil 17 maelewano yapo. Kuangalia inaruhusiwa

Maelezo zaidi 0777 777 766 au 0659 211 222

Karibuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom