Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,036
Dah hii kitu iliniuma sana sikuamini macho yangu ni aibu mno tena mno watu wamezoea vyoo vya shimo.
Hao watakuwa YANGA wenye hasira wamefanya hiyo kitu! Shame on them!
Na mtu asipolaani hichi kitendo kwa maandishi hapa atakuwa nae ni kati ya waliochojoa pale.
Nawalaani washenzi wote waliofanya huo upuuzi. Naomba kwa Mungu biology zao zipokonywe nguvu zao ili sisi wastaarabu tuwamegee wake zao. Shenzy type zao!
Nawalaani washenzi wote waliofanya huo upuuzi. Naomba kwa Mungu biology zao zipokonywe nguvu zao ili sisi wastaarabu tuwamegee wake zao. Shenzy type zao!
Hawa ni mashabiki wa Simba ni fraha zao kushinda.
Ha!ha!ha!ha!ha!aaa homeboy hatimaye umerudi? Pole lakini nilikuonya mapema!!
BWT: Hivi kwani urinals hamna mpk jamaa watie timu kny sink za kunawia? ...anyway inanikumbusha uform one....metoka bush, vyoo vya kulenga....school mambo ya masink......! ushamba umetuzidi!
Na mtu asipolaani hichi kitendo kwa maandishi hapa atakuwa nae ni kati ya waliochojoa pale.
Nadhani hakuna njia ila kuweka CCTV camera mpaka kwenye vyoo. Kama waTZ wamefikia hatua ya kukosa ustaarabu kiasi hiki basi wawe tayari kuchunguliwa na Camera masaa yote.
Najua wengine watasema kuweka CCTV camera ni ku-invade privacy ya mtu, lakini watu waliokosa adabu kama hawa kwanini uheshimu privacy yao?