NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,803
- 637
naunga mköno waliokojoa maana maeneo ya kujisaidia hayatoshi.
Nafikiri katika picha iliyopigwa wewe ni 1 wao huna hata aibu how old ar u?
naunga mköno waliokojoa maana maeneo ya kujisaidia hayatoshi.
hapana lazima kuna upungufu mahali,maana inaeleweka hayo masinki si sehemu ya kukojolea kwa nini wafanye hivyo?KWA kawaida wanaume si huwa mna vijisehemu vyenu vya kukojolea humo vyooni au sytem ya vyoo hapo uwanja wa UHURU ikoje?
TAFADHALI EDIT TITLE YA THREAD YAKO NIMETOA SUGGESTION ANGALIA HAPO JUU. nitakupa sababu baadae.
Mkuu ndo tunaambiwa binadamu unaweza kumtoa shamba ukamleta mjini lakini kumtoa ushamba kaaaazi kweli kweli,you can take a man out of bush but you can not take the bush out of him,mambo ya uswazi hayo mazee kazi kuiba mafuta ya transforma kwa kwenda mbele ukimuuliza anakuambia kwao hakuna umeme!Na mtu asipolaani hichi kitendo kwa maandishi hapa atakuwa nae ni kati ya waliochojoa pale.
Mkuu ndo tunaambiwa binadamu unaweza kumtoa shamba ukamleta mjini lakini kumtoa ushamba kaaaazi kweli kweli,you can take a man out of bush but you can not take the bush out of him,mambo ya uswazi hayo mazee kazi kuiba mafuta ya transforma kwa kwenda mbele ukimuuliza anakuambia kwao hakuna umeme!
rafiki unanishangaza kidogo kwa uwezo wako mdogo wa kufikiri
Na mtu asipolaani hichi kitendo kwa maandishi hapa atakuwa nae ni kati ya waliochojoa pale.
Check above nimempa Nguli mfano wa madaladala ya mbagala yanavyoharibu kingo za barabara, huo ni mfano mmoja wapo.
Mh huwezi amini! labda wawachimbie vyoo vya mashimo. Ukweli ni kwamba watz wengi wamezoea kutumia vyoo vya mashimo (na wegine hawatumii kabisa).