Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NAUNGA MKONO RASMI KAULI YA NYANI-JULIUS-miafrika ndivyo ilivyo!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Teamo, Nov 2, 2009.

  1. Teamo

    Teamo JF-Expert Member

    #1
    Nov 2, 2009
    Joined: Jan 9, 2009
    Messages: 12,278
    Likes Received: 25
    Trophy Points: 145
    kwa nilivhokiona uwanja wa taifa mpya wakati wa mechi ya simba na yanga,WITH MY NAKES TWO EYES....!naomba nikubaliane na nyani julius kwamba MIAFRIKA NDIVYO ILIVYO!pia naunga mkono thread ya Yo Yo aliwahi kusema WABONGO HATUTUMII AKILI!.....
    [​IMG]
     

    Attached Files:

  2. NGULI

    NGULI JF-Expert Member

    #2
    Nov 2, 2009
    Joined: Mar 31, 2008
    Messages: 4,819
    Likes Received: 17
    Trophy Points: 135
    Hii ni AIBU! AIBU! tutaelimika lini? sisi kweli ni masikini wa mali ila zaidi ni FUKARA wa akili waliotengeneza huo uwanja watakuwa wanatucheka sana. nalaani kwa nguvu zangu zote kitendo hicho cha kifedheha halafu waliofanya hicho kitendo ni sisi wanaume hakuna mwanamke angeweza kupanda pale na evidence from the picture inadhihirisha wazi. AIBU JAMANI DA!
     
  3. Fidel80

    Fidel80 JF-Expert Member

    #3
    Nov 2, 2009
    Joined: May 3, 2008
    Messages: 21,983
    Likes Received: 49
    Trophy Points: 145
    Dah hii kitu iliniuma sana sikuamini macho yangu ni aibu mno tena mno watu wamezoea vyoo vya shimo.
     
  4. Asprin

    Asprin JF-Expert Member

    #4
    Nov 2, 2009
    Joined: Mar 8, 2008
    Messages: 42,156
    Likes Received: 4,688
    Trophy Points: 280
    Hao watakuwa YANGA wenye hasira wamefanya hiyo kitu! Shame on them!
     
  5. Fidel80

    Fidel80 JF-Expert Member

    #5
    Nov 2, 2009
    Joined: May 3, 2008
    Messages: 21,983
    Likes Received: 49
    Trophy Points: 145
    Hawa ni mashabiki wa Simba ni fraha zao kushinda.
     
  6. Teamo

    Teamo JF-Expert Member

    #6
    Nov 2, 2009
    Joined: Jan 9, 2009
    Messages: 12,278
    Likes Received: 25
    Trophy Points: 145
    hahahahaha!mpwa kwa hali hii sijui kama tutafika:D
     
  7. NGULI

    NGULI JF-Expert Member

    #7
    Nov 2, 2009
    Joined: Mar 31, 2008
    Messages: 4,819
    Likes Received: 17
    Trophy Points: 135
    Na mtu asipolaani hichi kitendo kwa maandishi hapa atakuwa nae ni kati ya waliochojoa pale.
     
  8. Asprin

    Asprin JF-Expert Member

    #8
    Nov 2, 2009
    Joined: Mar 8, 2008
    Messages: 42,156
    Likes Received: 4,688
    Trophy Points: 280
    Nawalaani washenzi wote waliofanya huo upuuzi. Naomba kwa Mungu biology zao zipokonywe nguvu zao ili sisi wastaarabu tuwamegee wake zao. Shenzy type zao!
     
  9. Teamo

    Teamo JF-Expert Member

    #9
    Nov 2, 2009
    Joined: Jan 9, 2009
    Messages: 12,278
    Likes Received: 25
    Trophy Points: 145
    najiuliza ni kwa nini mtu anaishi hivi?
     
  10. NGULI

    NGULI JF-Expert Member

    #10
    Nov 2, 2009
    Joined: Mar 31, 2008
    Messages: 4,819
    Likes Received: 17
    Trophy Points: 135
    hA HA HA HA, HII AZABU NI KALI SANA MIMI NAOMBA WAOTE MABUSHA MAKUBWA KAMA TUNDA AINA YA FENESI ILI WAONE AIBU KUTOE SINDANO ZAO HADHARANI NA KUCHOJOA HOVYO.
     
  11. Teamo

    Teamo JF-Expert Member

    #11
    Nov 2, 2009
    Joined: Jan 9, 2009
    Messages: 12,278
    Likes Received: 25
    Trophy Points: 145
    wazee vipi vitufe vya thenksi mnaviona?:D
     
  12. Nduka

    Nduka JF-Expert Member

    #12
    Nov 2, 2009
    Joined: Dec 3, 2008
    Messages: 8,327
    Likes Received: 515
    Trophy Points: 280
    Hii kali nilikuwa sitaki kukubaliana na mpwa kuhusu hiki kitendo cha hawa jamaa lakini kwa dua hii naunga nanyi asilimia mia ili na tuwafaidi wake zao. Kuna demu kanionyesha pia picha alipiga choo cha kike yani utajiuliza hilo pozi lilikuwa hadi wakafikisha mkojo sink ya kunawa.
     
  13. Next Level

    Next Level JF-Expert Member

    #13
    Nov 2, 2009
    Joined: Nov 17, 2008
    Messages: 3,160
    Likes Received: 13
    Trophy Points: 135
    Ha!ha!ha!ha!ha!aaa homeboy hatimaye umerudi? Pole lakini nilikuonya mapema!!

    BWT: Hivi kwani urinals hamna mpk jamaa watie timu kny sink za kunawia? ...anyway inanikumbusha uform one....metoka bush, vyoo vya kulenga....school mambo ya masink......! ushamba umetuzidi!
     
  14. Teamo

    Teamo JF-Expert Member

    #14
    Nov 2, 2009
    Joined: Jan 9, 2009
    Messages: 12,278
    Likes Received: 25
    Trophy Points: 145
    nilikuwa kati kati ya kundi la wana yanga jumamosi.sambamba kabisa na mkuu tajwa hapo juu!heri usimuliwe kuliko kuwaona wana yanga LIVE walivyolowa
     
  15. p

    paulk JF-Expert Member

    #15
    Nov 2, 2009
    Joined: Mar 12, 2009
    Messages: 241
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 33
    nalaani kwa kauli ya ukali.
     
  16. Teamo

    Teamo JF-Expert Member

    #16
    Nov 2, 2009
    Joined: Jan 9, 2009
    Messages: 12,278
    Likes Received: 25
    Trophy Points: 145
    na walaaniwe washabiki wa yanga!
     
  17. October

    October JF-Expert Member

    #17
    Nov 2, 2009
    Joined: Oct 5, 2009
    Messages: 2,147
    Likes Received: 4
    Trophy Points: 135
    Nadhani hakuna njia ila kuweka CCTV camera mpaka kwenye vyoo. Kama waTZ wamefikia hatua ya kukosa ustaarabu kiasi hiki basi wawe tayari kuchunguliwa na Camera masaa yote.
    Najua wengine watasema kuweka CCTV camera ni ku-invade privacy ya mtu, lakini watu waliokosa adabu kama hawa kwanini uheshimu privacy yao?
     
  18. Teamo

    Teamo JF-Expert Member

    #18
    Nov 2, 2009
    Joined: Jan 9, 2009
    Messages: 12,278
    Likes Received: 25
    Trophy Points: 145
    swadakta!YOU CAN SAY IT AGAIN
     
  19. Teamo

    Teamo JF-Expert Member

    #19
    Nov 2, 2009
    Joined: Jan 9, 2009
    Messages: 12,278
    Likes Received: 25
    Trophy Points: 145
    wabongo tunapojidhalilisha:
    [​IMG]
     

    Attached Files:

  20. NGULI

    NGULI JF-Expert Member

    #20
    Nov 2, 2009
    Joined: Mar 31, 2008
    Messages: 4,819
    Likes Received: 17
    Trophy Points: 135
    Mbona SHE amachangiii hii mada au na nyie kwenu kuna mtu alimaliza kbs?
     
Loading...