NAUNGA MKONO RASMI KAULI YA NYANI-JULIUS-miafrika ndivyo ilivyo!

Hii ni AIBU! AIBU! tutaelimika lini? sisi kweli ni masikini wa mali ila zaidi ni FUKARA wa akili waliotengeneza huo uwanja watakuwa wanatucheka sana. nalaani kwa nguvu zangu zote kitendo hicho cha kifedheha halafu waliofanya hicho kitendo ni sisi wanaume hakuna mwanamke angeweza kupanda pale na evidence from the picture inadhihirisha wazi. AIBU JAMANI DA!
Msilaumu sana mazingira ndio yaliyosababisha,wengi wa watanzania hatujaishi mazingira ya vitu hivyo,wengi tumezoea kujisaidia kwa jembe,sasa hivi vya kidhungu itabidi tupelekwe training kabla ya kuruhusiwa kutumia!!!
 
ilipaswa serikali igharamie wataalamu waje kutufundisha ustaarabu na matumizi sahihi ya vyoo vya kisasa
 
ilipaswa serikali igharamie wataalamu waje kutufundisha ustaarabu na matumizi sahihi ya vyoo vya kisasa

TAFADHALI EDIT TITLE YA THREAD YAKO NIMETOA SUGGESTION ANGALIA HAPO JUU. nitakupa sababu baadae.
 
Huu ujumbe uliotumwa na hao vikojozi ni mkubwa mno kama mtu ukiangalia kwa undani. Tanzania hatuwezi kuendelea kwa sababu kila mtu anajifikiria mwenyewe, e.g mkojo umembana na watu ni wengi, the fool does not care about who is going to clean up, the properties, etc. linakojoa tu.

Kifupi watanznia ni WABINAFSI hakuna mfanooooo!

The same fool uliambie kwamba tunahitaji maendeleo hivi na vile unadhani litakuelewa, wapi!
 
ni watanzania wote?au watanzania wanaume?
 
TAFADHALI EDIT TITLE YA THREAD YAKO NIMETOA SUGGESTION ANGALIA HAPO JUU. nitakupa sababu baadae.

Nguli, wengi wapo hivyo sijui kwa nini! Nitakupa mfano kule mbagala zile kingo zinazotenganisha barabara za katikati zinazojengwa kwa matofali ya zege flani hivi, watu wenye magari makubwa kama daladala badala ya kuzunguka kwenye round about yeye anapandisha/katiza tu then zinabomoka.

Hapo utasemaje, UBINAFSI mkuu.
 
ilipaswa serikali igharamie wataalamu waje kutufundisha ustaarabu na matumizi sahihi ya vyoo vya kisasa
Swadakta,au waweke michoro inayoonyesha kila kilichomo na utumiaji wake,japo kuwa sitaki kuamini kama hii itasaidia sana,sababu mtu unaandikiwa usikae hapa lakini unakuta mtu kakunja nne tena na sigara mkononi,lakini mi naamini kuwa tiba ya mjinga sikuzote ni elimu!!!
 
ni watanzania wote?au watanzania wanaume?

I'm thinking beyond the box, sio kwenye kukojoa tu, hili la kukojoa lina-present mengine mengi ya aibu na unthinkable watanzania wanayoyafanya.

So it is not about males or females!
 
watanzania-wanaume tuna matatizo!wengine hawa hapa.baada ya kukojoa wamerudi kushangaa:
attachment.php
 
Attachments

  • taifa 3.jpg
    taifa 3.jpg
    20.3 KB · Views: 84
I'm thinking beyond the box, sio kwenye kukojoa tu, hili la kukojoa lina-present mengine mengi ya aibu na unthinkable watanzania wanayoyafanya.

So it is not about males or females!
Aaa,Radical mengine yapi tena hayo?
 
Dah wabongo bado sana sisi, hii mechi ingekuwa inachezwa masaa mawili ungekuta hata kinyesi humo wameandika na majina yao
 
Jamani hao sio kosa lao,ni frasturations za maisha tu,yani maisha bora kwa kila mtanzania yamewachanganya.
 
Jamani hao sio kosa lao,ni frasturations za maisha tu,yani maisha bora kwa kila mtanzania yamewachanganya.

sijakusoma shemeji!unachanganyikiwa kiasi gani hadi unakojoa kwenye masinki ya kunawia?
 
sijakusoma shemeji!unachanganyikiwa kiasi gani hadi unakojoa kwenye masinki ya kunawia?
Dah shem kuna watu wanachanganyikiwa vibaya sana,yani anaweza tembea toka mbagala mpaka bunju anauza miwani.na akikatiza mitaa ya hapo karume anakutana na mgambo .Sasa inapotokea mechi kama za simba na yanga ndio wakati wao wa kufurahi japo kidogo maana hata kunusa kama pale tulipoget tugeza jana ni kazi achana na hizo kempisiki.
Na kwenye ile thread ya ya umasikini ya Veracity umeona kuwa wenye vyoo vya kuflash sijui ni 30%, sas akifika taifa kwa nini asifanye sherehe.
ndiyo hivyo,miafrika ndivyo tulivyo.
 
Ukikaa uswahilini hauwezi kushangaa sana,kinachonipa tabu ni kwani nini huo mkojo ulikuwa hauendi through the pipes au mnataka kuniambia tayari masinki yameshaziba!!!!
Kuataarabika is a process though we have a long way to go.
 
ukikaa uswahilini hauwezi kushangaa sana,kinachonipa tabu ni kwani nini huo mkojo ulikuwa hauendi through the pipes au mnataka kuniambia tayari masinki yameshaziba!!!!
kuataarabika is a process though we have a long way to go.

umenena!
 
haaa noo jamani, khaa wanazo timamu kweli hao waliofanya hicho kitendo? hivi mi baba mizima yote inatoa mudude yao nje kwenye sink la mikono ahhh, kulikuwa hakuna hata wa kumrekebisha mwenzie alivyoona anafanya hicho kitendo?...watu wengine uchafu upo kwenye damu aisee....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom