LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,123
- 9,168
Wakuu nimekaa nakuamua kuunda tv ambayo itakuwa na deck ya kuplay vcd/dvd/mp3,flash,memory card,am na fm radio,
receiver/king'amuzi cha fta,bluetoth, na itakuwa na sowbufer .
Vitu vyote hivyo vinakuwa sehem moja.
Na tv yenyewe itakuwa ya mbao mpaka sasa hivi nimesha unga circuit ya vcd,dvd,mp3,flash na memory card na ninampango wa kuendelea kuviongeza .
Msaada wenu katika mambo haya 2 ambayo yananisumbua sana.
1-nataka nifanye mpango wa kuweka na soket(conector) ili niweze tumia kama monitor
2-je ni vipi naweza tengeneza saketi ya remot ya kuioperate hiyo tv kwenye kuchagua toka operation 1 mpaka nyingine?? Ukiachana na remot za saketi husika??.
TV yenyewe ni ya mbao na vitu vyote hivyo vitakuwa kwenye box 1 tu??
0717 228064 kwa mawasiliano zaidi
Nakaribisha maoni,ushauri,nasaha, na hata wale wa kuzodoa...