Naumwa na mwili unachoka lakini hospitali hawaoni kitu, inaweza kuwa kitu gani?

Umepima wingi wa damu (haemoglobin)?
Kama umepima wamekuta ni kiasi gani?
 
Kwahio unahitaji waataalamu wa diagnosis Kwa kutumia maandishi mawili matatu wakupatie jawabu ambalo limewashinda hospitali waliotumia physicals tests ?

Labda ushauri badilisha hospitali kuhusu inaweza kuwa nini naweza nikakupa majibu 20 hapa ambayo huenda yote yasiwe sawa ila yanaendana na hio hali....
 
Nimeenda 10 hawaoni kitu
 
mnaosema upwiru nakataa! ila pana mtu kauliza kuhusu hedhi nimemuelewa sana ana nna shida kwenye hedhi
ila kuchoka sana na kuhisi usingizi ndo hali inayonitokea tangu mwezi uliopita nikinywa maji inapungua mi nilihisi labda hali ya hewa! kuna mda nachoka mpk nashindwa kuamka.
sina mimba
 
Naumwa vibaya sana kama vile nachoka choka ukipimwa huna kitu ila unazìma zima tu sana sana kichwa.

Sina kachanga sina presha ni nini?

Tahadhari naomba watu ambao hawana ushauri wasicoment.
Kama kweli unaumwa mwili na kuchoka mara kwa mara. Baci njia rahisi ni kujifukiza mvuke. Piga nyungu iliotimia utarudi kutuhadisia.
Lakini kama umeandika uzi wako huu kwa dhihaka baci na ww mungu atakudhihaki na kukuswarifu...
 
Nimeenda 10 hawaoni kitu
Wamekwambia huenda ni nini ? (Like I said naweza nikaja na magonjwa hamsini yenye dalili zako ila isiwe hicho) Kwahio ni mwendo wa elimination hospital wamekupima nini au wamekuuliza kuhusu nini na nini hawajakuuliza

Anemia
Sleep apnea
Depression
Chronic fatigue syndrome
Insomnia
Diet
Dehydration
Fibromyalgia
Poor diet
Anxiety
Inadequate physical activity
Pregnancy
Stress
Arthritis
Autoimmunity
Eating disorder
Hormonal fluctuations
 
Back
Top Bottom