Naumia wakati wa kufanya mapenzi

Nisaidie ndugu yangu KY ni nini?


K-Y Jelly is a brand of water-based lubricant product. K-Y has had a number of uses over the years and was originally marketed as a medical/surgical lubricant. It is now marketed primarily as a "personal lubricant," used for intimate/sexual lubrication.

Massage Oil

Because it does not stain clothes, K-Y Jelly is a good choice of massage oil.

Hopefully the above explanation is sufficent enough to answer your question.

 
Pole sana dadaangu...Wakati mwingine tatizo lako linaweza kuwa la kisaikolojia zaidi...Kuna dada mmoja aliwahi kufanyiwa mambo mabaya wakati anaanza kufanya matendo haya, basi akawa hata baada ya kuolewa anaogopa sana tendo hili!...Hata akiandaliwa namna gani anahisi huenda mumewe ataishia kumfanya vile alivyotendwa zamani, matokeo yake amekuwa haoni raha yoyote, bali maumivu na mateso!...Yakishindikana yote pata ushauri nasaha!
Karibu sana mkuu...........Nilikumiss sana ulikuwa wap?????????
 
Pole HOPE 2, napata wakati mgumu wa kukushauri hapa ila niulize, je unatoka damu ukeni wakati wa tendo la ndoa? au umezaa watoto wangapi?au jamaa animtalimbo mkubwa? Nina sababu kuuliza kwani yapo magonjwa mengi ya kizazi yanayoweza kuleta maumivu wakati wa kudoo.Nikipata hayo majibu angalau nitapata picha kipi kinachoweza kuwa sababu ya hayo maumivu.
 
KAKA UMEUWA HAPO NI KWELI KUNA DR,WENGINE INABIDI ACHEKI SASA HAPO CHA KUTOKA NJE IMANI NGUMU KULA JIWE UKASHIBA ILA PAPAI LINALIKA
cONQUEST:-MASHINE KUBWA NDIO INATUMIKA KUVUNJA MILIMA SIO KI GENERATOR
 
Kama a)mwaka mzima bado anakuumiza, b)umekiri anakuandaa vizuri,hapa tatizo una mashine ndogo ambayo haiendani na ukubwa wa kitwangio cha mumewe.Angekuwa mpenzi tu ningeshauri uachane nae utafute mtu mwenye kitwangio cha wastani lakini umesema ni mumeo kwahiyo vumilia tu ukizaa itakuwa nafuu.Kila mara nasisitiza watu wajaribu kwanza kabla ya kuoana tatizo kama hili lingeepukika.
 
Nakubaliana na Uporoto hapo juu hii ya kusubiri mpaka tuoane madhara yake ni kama haya badala ya tendo kuwa raha linakuwa karaha,pole shosti ningesema utazoea tu lakini kama hujazoea mwaka mzima mmh!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom