Naumia wakati wa kufanya mapenzi

hope 2

Senior Member
Apr 28, 2010
154
7
Mimi ni mwanamke niliyeolewa na nina mwaka mmoja kwenye ndoa. Katika siku zote ninazoishi na Mume wangu ni siku chache sana nafurahia tendo la ndoa maana mara zote napata maumivu makali wakati wa tendo.

Sielewi kwamba hua tunakosea style au vp? maana naweza kukosa amani kabisa nikiwaza kukutana na Mume wangu, na pia sioni kama anashindwa kuniandaa vizuri maana mara zote nakubali maandalizi tunayofanya kabla ya tendo.

Naogopa kumkatalia mume wangu penzi maana anaweza toka nje halafu ikawa matatizo

Jamani kina mama, dada na wote, hebu niambie kama hii ni kawaida na nifanyeje ili kuondokana na hii hali.
 
EEH!.....
haya fl1,carmel,nyamayao KAZI KWENU
 
Nenda hospitali ukaangaliwe labda una tatizo hasa ukitilia maanani kwamba umesema unaridhika na maandalizi yenu kabla ya kukuingilia.
 
Mhh kuna shangazi na wafundaji kibao siku hizi hata buku 5 utapata wa kukufunda... haya mwambie shemeji akuandae vya kutosha jmni au nanihii yake kubwa sna hahha haha hata ikiwa kubw aukiandaliwa vizuri huko maeneo yatakuwa tayari yamelainika kumpokea!
 
Asante Maria Roza, ila naona aibu kwenda kwa shangazi na kumweleza haya ni mambo ya ndani sana, ukizingatia unaweza kumwambia yeye na dunia yote ikajua
 
basi njoo kwangu mimi MJOMBA...
niko ki-praktiko zaidi
 
Unaweza niPM kwa ushauri sitaki mwaga mchele kwenye kuku wengi tena wa kienyeji. Kifupi hiyo hali inaitwa dyspareunia inategemea maumivu yako yakoje, kama ni kwa ndani unaweza kuwa na tatizo la kimaumbile ama ugonjwa. Unatakiwa ufurahie ngono. Kuna uwezekano kuwa na tatizo kwenye Cervix, Ovary (Cysts) uvimbe kwenye mfuko wa uzazi (Endometriosis) kuna sababu nyingi za kitaalamu hata kama unatumia contraceptives kuna amabazo hukausha ule ute! PM for more....
 
basi njoo kwangu mimi MJOMBA...
niko ki-praktiko zaidi

Mjomba wewe sio msaada kabisa.( hilo swala la kua kipraktiko ndio naliogopa, siwezi kumsaliti Mume wangu hata kwa mtutu)
 
Asante Maria Roza, ila naona aibu kwenda kwa shangazi na kumweleza haya ni mambo ya ndani sana, ukizingatia unaweza kumwambia yeye na dunia yote ikajua

I know my dia ila kuwa free kwa shemeji etu mwambie wapi ukishikwa unaitika achana na zile fikra potofu kuwa anaweza hisi wewe ni mwingi sn! kama ni mtumiaji wa kilevi pata walau glass 2 za wine na ingia uwanjani huku mkiwa mnaangalia zile sinema zetu ahhh utaona mabadiliko my dia:twitch::twitch:
 
Nashukuru kwa ushauri wako BAK

Unakaribishwa, mtumie PM Masanilo labda anaweza kukusaidia zaidi katika tatizo lako ili nawe uweze kufurahia kuwa pamoja na mwenzio katika kula maraha.
 
Unaweza niPM kwa ushauri sitaki mwaga mchele kwenye kuku wengi tena wa kienyeji. Kifupi hiyo hali inaitwa dyspareunia inategemea maumivu yako yakoje, kama ni kwa ndani unaweza kuwa na tatizo la kimaumbile ama ugonjwa. Unatakiwa ufurahie ngono. Kuna uwezekano kuwa na tatizo kwenye Cervix, Ovary (Cysts) uvimbe kwenye mfuko wa uzazi (Endometriosis) kuna sababu nyingi za kitaalamu hata kama unatumia contraceptives kuna amabazo hukausha ule ute! PM for more....

Masa, nimeiweka hii hapa ili nisaidiwe na pia mtu mwenye tatizo kama langu afaidike pia.Naomba ushauri wako uuweke hapa tafadhali
 
I know my dia ila kuwa free kwa shemeji etu mwambie wapi ukishikwa unaitika achana na zile fikra potofu kuwa anaweza hisi wewe ni mwingi sn! kama ni mtumiaji wa kilevi pata walau glass 2 za wine na ingia uwanjani huku mkiwa mnaangalia zile sinema zetu ahhh utaona mabadiliko my dia:twitch::twitch:

Asante sana MR
 
Masa, nimeiweka hii hapa ili nisaidiwe na pia mtu mwenye tatizo kama langu afaidike pia.Naomba ushauri wako uuweke hapa tafadhali

I am afraid wont dare to do that on this open forum ni unethical professionally kumwaga vitu hivyo hapa, maana hapa kunaingia kila mtu walau ingekuwa jukwaa la wakubwa...hope utapata msaada kwa wengine!
 
suala la msingi hapa ni kwenda kuonana na daktari. Ukiambiwa huna matatizo ndio unaenda kwa shangazi kuomba ujuzi zaidi kwa sababu naamini ujuzi ulonao ungekutosha tu kukufanya ufurahie tendo hasa kwa vile umesema mumeo anakuandaa vya kutosha
 
Nenda hospitali ukaangaliwe labda una tatizo hasa ukitilia maanani kwamba umesema unaridhika na maandalizi yenu kabla ya kukuingilia.

Mkuu nnaswali nje ya topic kidogo.

Mfano huyo ni mkeo, afu unaamua kumpeleka hospitali.
Doctor wa kiume (ambaye pengine ni jirani au mnafahamiana nae) anaomba achojoe ili amkague maeneo, inakuaje apo.
Dr akikuomba utoke nje utatoka?
 
Pole sana my dia.......hope utasaidika. Will keep you in my prayes.
 
Hapa kuna sababu nyingi za kama vile:
1.0 Mtaimbo mkubwa kama ilivyotanguliwa kusemwa
2.0 Style inayotumika
3.0 Kutoiva kwa maandalizi
4.0 Ugonjwa
Swali: Umewahi kujadili hili na mumeo?

Umesema kuwa wakati mwingine unafurahia, je unakumbuka ile siku ilikuwaje ili urudie yaliyofanyika?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom