20-40 hujali dini wala kabila yani awe mchumba......Mimi ni kijana wa kiume. Natafuta mchumba. Umri wangu ni miaka 30. awe msikivu kwangu. Awe na umri kati ya miaka 20 hadi 40. Kama uko tayari niibox fasta
Degree of Freedom yako naona ni kubwa sana..kiasi kwamba ukifanya analysis hautapata jibu nzuri..Narrow down kidogo kaka otherwise utakuja kulia machozi: kila la heri!
Funguka mkuu. Mimi sijakulewa kabisa. Zen mimi co Freemason!Degree of Freedom yako naona ni kubwa sana..kiasi kwamba ukifanya analysis hautapata jibu nzuri..Narrow down kidogo kaka otherwise utakuja kulia machozi: kila la heri!
Naona hii itakuwa bahati ya mtende kwa wale wadada walio na umri mkubwa ambao hawajawahi kupata waume.....best wishes mkuu
ohooooooo! kumbe unasema freedom!Degree of Freedom yako naona ni kubwa sana..kiasi kwamba ukifanya analysis hautapata jibu nzuri..Narrow down kidogo kaka otherwise utakuja kulia machozi: kila la heri!
Yupo kituo cha polisiKawe, nenda kamchukue.
Ndiyo nasubiri maombi kutoka kwenu.