Natuta mchumba

Eberhard

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
1,120
757
Mimi ni kijana wa kiume. Natafuta mchumba. Umri wangu ni miaka 30. awe msikivu kwangu. Awe na umri kati ya miaka 20 hadi 40. Kama uko tayari niibox fasta
 
20-40 hujali dini wala kabila yani awe mchumba......
 
Degree of Freedom yako naona ni kubwa sana..kiasi kwamba ukifanya analysis hautapata jibu nzuri..Narrow down kidogo kaka otherwise utakuja kulia machozi: kila la heri!
 
Funguka mkuu. Mimi sijakulewa kabisa. Zen mimi co Freemason!
 
Degree of Freedom yako naona ni kubwa sana..kiasi kwamba ukifanya analysis hautapata jibu nzuri..Narrow down kidogo kaka otherwise utakuja kulia machozi: kila la heri!
ohooooooo! kumbe unasema freedom!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom