Natoa shahawa nyingi sana wakati wa tendo la ndoa

Wakubwa nawasalimia.

Mimi ni kijana wa kiume, nina miaka 25 bado sijaoa na sitarajii kuoa kwa sasa kwa sababu binafsi. Nikifanya ngono au tendo la ndoa huwa natoa manii nyingi sana kwa mahesabu ya harakaharaka naweza kujaza nusu ya ile condom na huwa natoa haraka nikihofia condom kupasuka.

Huwa naenda ndani ya dakika kumi na tano au zaidi na huwa napiga bao 6-7 baada ya kuchomoa na kuendelea tena na hali ni ile ile. Imefika binti moja aniomba game eti ameambiwa na shogake eti najua kuwafanyia vizuri.

Sasa naona hali hii inanipa shida na mimi sio mtu wa sketi sana. Sasa wadau hii imekaaje kiafya? Maana namwaga manii kama nakojoa jamani.

Naomba ushauri jamani
Kaka nenda hospitali watu wa humu watakukwaza na comment zao. Mwone daktari atakucheck na atakupa jibu ambalo litatuliza moyo wako
 
Nusu ya kondomu, unajua kondomu inaweza kubeba kimiminika chenye ujazo wa ltr 20 au zaidi??
 
Back
Top Bottom