Natoa shahawa nyingi sana wakati wa tendo la ndoa

lion iron

JF-Expert Member
Aug 4, 2016
318
228
Wakubwa nawasalimia.

Mimi ni kijana wa kiume, nina miaka 25 bado sijaoa na sitarajii kuoa kwa sasa kwa sababu binafsi. Nikifanya ngono au tendo la ndoa huwa natoa manii nyingi sana kwa mahesabu ya harakaharaka naweza kujaza nusu ya ile condom na huwa natoa haraka nikihofia condom kupasuka.

Huwa naenda ndani ya dakika kumi na tano au zaidi na huwa napiga bao 6-7 baada ya kuchomoa na kuendelea tena na hali ni ile ile. Imefika binti moja aniomba game eti ameambiwa na shogake eti najua kuwafanyia vizuri.

Sasa naona hali hii inanipa shida na mimi sio mtu wa sketi sana. Sasa wadau hii imekaaje kiafya? Maana namwaga manii kama nakojoa jamani.

Naomba ushauri jamani
 
Hivi unajua kondom inauwezo wa kubeba lita 5 za maji..
Kijana usikute unakojolea mkojo kondom..
Unamapu****mb size gan ujaze kondom mara 7 kwenye game usituletee story za Pornooo!!
Embu oa alafu mke wako alete story eti mme wangu ananijazaga K kwa shahawa..
#Hizi Kiki Nyingine Ni Balaa
 
Back
Top Bottom