Natoa shahawa nyingi sana wakati wa tendo la ndoa

Hivi unajua kondom inauwezo wa kubeba lita 5 za maji..
Kijana usikute unakojolea mkojo kondom..
Unamapu****mb size gan ujaze kondom mara 7 kwenye game usituletee story za Pornooo!!
Embu oa alafu mke wako alete story eti mme wangu ananijazaga K kwa shahawa..
#Hizi Kiki Nyingine Ni Balaa

Sawa,ila naomba uamini.nina akili timamu ndo maana nasema hii ya kwangu imekaaje?
 
Wakubwa nawasalimia. Mimi ni kijana wa kiume,nina miaka 25 bado Cjaoa na ctarajii kuoa kwa sasa kwa sababu binafsi.ni kwamba nikifanya ngono au tendo la ndoa huwa natoa manii nyingi sana kwa mahesabu ya harakaharaka naweza kujaza nusu ya ile condom na huwa natoa haraka nikiofia condom kupasuka na huwa naenda ndani ya dakika kumi na tano au zaidi na huwa napiga bao 6-7 baada ya kuchomoa na kuendelea tena,na hali ni ile ile imefika binti moja aniomba game eti ameambiwa na shogake eti najua kuwafanyia vizuri,na sasa na Ona hali hii inanipa shida na mimi cyo mtu wa sketi sana.sasa wadau hii imekaaje kiafya? Maana namwaga manii kama nakojoa jamani.naomba ushauri jamani
IVI SHULE BADO HAMJAFUNGUA MAANA NAHISI LIKIZO IMESHAISHA
 
Utakuwa unaumwa nenda kamuone daktari..
Usikute shahawa zina mix na mkojo

Hamna kitu kama hicho,shahawa haiwezi kumix na mkojo maana nakojoa kabla ya tendo na shahawa nazijua vizuri sana, ila mi c mlaji wa vyakula vya kisasa mkuu
 
Hamna kitu kama hicho,shahawa haiwezi kumix na mkojo maana nakojoa kabla ya tendo na shahawa nazijua vizuri sana, ila mi c mlaji wa vyakula vya kisasa mkuu

Mkuu mpaka sasa hivi nimeshafanya vipimo vya shahawa hospitali doctor kaniambia niko sawa na yako freshi kabisa,ila bado naona ,yanazidi na doctor aliniambia nipunguze baadhi ya vyakula , lakini bado
 
Back
Top Bottom