Blaine
JF-Expert Member
- Jan 11, 2012
- 2,275
- 1,655
nashindwa kuamini kama hii si hadithi
ushauri: kama bado una chembe ya ubinadamu achana na mkeo na waoe hao m---ya wawili, wote mnamawazo sawa hivyo mtaendana
- umemsaliti mkeo
- umetembea na mke wa mtu mpaka kumpa mimba
- unatembea na binti wa rafiki yako kwa kigezo cha ulimsomesha
ushauri: kama bado una chembe ya ubinadamu achana na mkeo na waoe hao m---ya wawili, wote mnamawazo sawa hivyo mtaendana