Natembea na mtoto wa rafiki yangu pia nimezaa na mke wa mtu

Status
Not open for further replies.
kwa kuwa umetujuza kuhusu haya matembezi yenu, itakuwa ni vizuri pia kama utarudi kutijuza mtakapokuwa mmefika. Hii inaweza kuwa ngumu maana mkifika tu unaweza ukawa umeshapoteza uwezo wa kubofya keybard yako.
 
We nenda kwa mume wa huyo mama wa hao watoto muambie achague kulea yeye au wewe uwachukue watoto wako ukawalee mwenyewe. Mkeo mueleze kwamba ulikuwa unahitaji mapacha ndio maana ukatoka nje. kale kabint kapeleke kwa wazazi wake na uwaeleze kwamba umemsomesha hadi kapata cheti na ulikuwa umemuweka kwa rafiki yako maana kazi ngumu siku hizi kupatikana na kwamba akipata kazi utawaeleza. Hapo watakushukuru saaana. Kisha nenda kanisani mueleze padri au askofu kama kuna sister anataka kuachia ngazi ya usister akueleze umchue.


Laana mkubwa WEE
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom