Natangaza vita na bifu la wazi kati yangu na excellent wa jf, pata a-z hapa.

sponsor nimefika. pambano linafanyikia wapi. au kati yenu ni nani virus ambaye atascaniwa? malazi vinywaji na chakula ni juu yangu. na mshindi atapata donge nono. vile vile ntaongea na invisible wamuongezee cheo.
isije ikawa kifungo
 
Hili litakuwa zaidi ya lile la Sugu na Ruge ni zaidi ya uhasama wa cdm na ccm, ni ngoma nzito zaidi ya vita ya Bush na Osama, ni uadui zaidi ya ule wa Kibaki na Odinga, ni chuki kubwa zaidi ya ile ya Mugabe na Tshangilai. Si nyingine ni vita kati yangu mimi WA KUSOMA vs EXCELLENT. Sababu ninazo, nia ninayo na uwezo pia ninao.


Alinichafua sana hlf akakimbia sasa amerudi na amepost thread nyingi sana humu na kila nikimrushia kombora analikwepa sasa namwambia siku zake zinahesabika humu JF. Najua ana wapambe wake humu akina KABAKABANA, AFRODENZ, JAKUMBUMBA na wengine kibao jichanganyeni hapa niwalipue live. Kudadadeki.
By;
WA KUSOMA

Mkuu naona kama unajaziba sana halafu kisa chenyewe hujakiweka wazi! Lakini pole kwa masahibu yalokukuta.
 
wakusoma nakudhamini usiniangushe pigana hadi tone la mwisho najua unapigania haki kumbuka nimeweka bondi nyumba hivyo nakuaminia
 
Back
Top Bottom