Natangaza vita na bifu la wazi kati yangu na excellent wa jf, pata a-z hapa.

bifu la hawa jamaa lilianzia jukwaa la jokes mwaka jana. mmoja akaenda kufanya mtihani mwingine akapigwa ban. nakumbuka jamaa alianzisha thread akaweka picha ya mtu aliyeshusha bonge la mzigo. mwingine naye akaanzisha thread ya matusi.
Mimi ndo maana nikasema ntadhamini mpambano kwa sababu kila mmoja najua ukali wake. hata mara ya kwanza nilidhamini hakupatikana mshindi. wakusoma aliniambia atarudi matokeo yakitoka, naona ndo amerudi. huu ni mwanzo tu. kaeni mkao wa kuangalia.
 
Nilisema sitakuja kuvuta bangi maishani mwangu.. Sasa hebu angalieni madhara ya hicho kijiti haramu...

Wenyewe mnajionea...!
 
Hili litakuwa zaidi ya lile la Sugu na Ruge ni zaidi ya uhasama wa cdm na ccm, ni ngoma nzito zaidi ya vita ya Bush na Osama, ni uadui zaidi ya ule wa Kibaki na Odinga, ni chuki kubwa zaidi ya ile ya Mugabe na Tshangilai. Si nyingine ni vita kati yangu mimi WA KUSOMA vs EXCELLENT. Sababu ninazo, nia ninayo na uwezo pia ninao.


Alinichafua sana hlf akakimbia sasa amerudi na amepost thread nyingi sana humu na kila nikimrushia kombora analikwepa sasa namwambia siku zake zinahesabika humu JF. Najua ana wapambe wake humu akina KABAKABANA, AFRODENZ, JAKUMBUMBA na wengine kibao jichanganyeni hapa niwalipue live. Kudadadeki.
By;
WA KUSOMA

Hongera kwa kutafuta bifu na Invisible we hujui kama Excelent ni moja wapo wa ma MODerator wa humu jf.
 
Dishaaa dishaaaaa tindindindindiiiiiiiiiiii oooooooh dishiiiiiīiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom