Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,270
- 8,033
nimeuliza baadhi ndo wamenipa info hizo... ila hakuna aliyenieleza za kutosheleza
acha kuuliza barabarani. tafuta office zao. kila teacher anajua office zao zilipo maana ni member.
nimeuliza baadhi ndo wamenipa info hizo... ila hakuna aliyenieleza za kutosheleza
cyo umuhimu wa cwt kwa walimu wa tanzania ishu ni umuhimu wa chama cha wafanyazi kwa wafnykz. Kujua umuhmu wake, taratibu zake nk soma SHERIA YA AJIRA NA MAHUSIANO KAZINI, NA.6 YA MWAKA 2004nimeuliza baadhi ndo wamenipa info hizo... ila hakuna aliyenieleza za kutosheleza
wadau mimi ni mwalimu mtarajiwa na Mungu Akipenda Hapo Mwakani Nitakuwa Ktk Ajira Mpya...Sasa Nimesikia Kuhusu Hii Kitu CWT kuwa sio hiari ni lazima kwa mwalimu kujiunga.. pia kuna makato nasikia 12% ya mshahara inaenda huko.. naombeni ufafanuzi kwanini iwe lazima kujiunga wakati katiba inasema mtu asishurutishwe kujiunga na chama chochote pasi na hiari yake? au kama swali litakuwa gumu naomba nijulishwe faida za kuwa mwana cwt..nitashukuru hasa nikipata michango ya walimu wazoefu.
inaelekea wakati huko chuo ulikuwa sio mfuatiliaji wa Masomo kwa sababu hyo mada ipo kwny muhtasari wa mafunzo ya ualimu
.Hebu rudi chuoni
ujaribu kuomba
uelekezwa.
Tatzo viongoz wako corrupt! Serikali imewaweka mfukon na viongozi wenyewe wako pale kwa ajili ya matumbo yao! Hawana msaada wowote!
Hata na nyie walimu wengi hamjitambui, wa kwanza kuilaum serikali lakn nyie wenyewe ndo mnaisaidia kuingia madarakani! Walimu wengi mnatumika vbaya badilikeni! Jitambue muache kulialia! Wakixema mgome mpk madai yenu yalipwe mnapnga! Badiliken bwana!
Truth spoken... Walimu ni wajinga mno kuliko uzanivo wengi wao hawajui chochote kuanzia content ya darasani hadi uhai wao ni zeroWalimu wenyewe ni wajinga wajinga tu wenye uelewa mdogo si katika masuala ya kitaaluma tu baali hata general knowledge zero.!.. Kwa watu kama hawa unategemea nini zaidi ya kusubiri upepo uwapeleke kule unakopenda?
Seriakli inajua hilo hapo juu na kwa hiyo ndiyo sababu inaweza kuamua kukata mishahara midogo ya walimu na kuitumia ama kwa mwenge ama ujenzi wa shule utadhani shule ni za walimu. Ni kwa sababu inajua walimu hawana akili waa ufahamu.
Walimu wenyewe kwa sababu hiyo hiyo hapo juu, wameitikia mwito wa serikali wa kuwagawanya na kuwafanya watii kila lisemwalo kwa ajili ya hofu, na ujinga wao. Kuna viongozi wachache wanaodhani wananeemeka na seriakli na hivyo kutumia vitisho dhidi ya walimu wenzao waliogawanyika.
Ukitaka uthibitishe haya angali nii wanaongea kwenye kampeni ya Kawambwa aliyoianzisha kukutana nao ili kuwapoza kwa madeni yao ambayo kihalisia hayatalipwa hadi wanakufa; kuwaondolea jaziba ya kukatwa fedha zao kwa ajli ya miradi ya sriakli , seriakli ambayo imefuja fedha zote za kodi na sasa inanyag'anya misharaha ya walimu ili angalau kuongeza show kwenye kampeni za ccm mwakani; tatu kuwatayarisha kwa ajil ya kuunga mkono na kusaidia ccm kuingia madaraani mwakani kitu ambacho kwa sababu walimu ni wajinga wasiojitambua, utaona watakavyo changamkia tenda.
Ujinga mtupu!.
Truth spoken... Walimu ni wajinga mno kuliko uzanivo wengi wao hawajui chochote kuanzia content ya darasani hadi uhai wao ni zero
wewe mwenyewe ni mjinga mjinga, hata kuandika ni shida. Angalia serikali ulivyoiandika. Hufuati alama za uandishi halafu unajiona mjanja.walimu wenyewe ni wajinga wajinga tu wenye uelewa mdogo si katika masuala ya kitaaluma tu baali hata general knowledge zero.!.. Kwa watu kama hawa unategemea nini zaidi ya kusubiri upepo uwapeleke kule unakopenda?
Seriakli inajua hilo hapo juu na kwa hiyo ndiyo sababu inaweza kuamua kukata mishahara midogo ya walimu na kuitumia ama kwa mwenge ama ujenzi wa shule utadhani shule ni za walimu. Ni kwa sababu inajua walimu hawana akili waa ufahamu.
Walimu wenyewe kwa sababu hiyo hiyo hapo juu, wameitikia mwito wa serikali wa kuwagawanya na kuwafanya watii kila lisemwalo kwa ajili ya hofu, na ujinga wao. Kuna viongozi wachache wanaodhani wananeemeka na seriakli na hivyo kutumia vitisho dhidi ya walimu wenzao waliogawanyika.
Ukitaka uthibitishe haya angali nii wanaongea kwenye kampeni ya kawambwa aliyoianzisha kukutana nao ili kuwapoza kwa madeni yao ambayo kihalisia hayatalipwa hadi wanakufa; kuwaondolea jaziba ya kukatwa fedha zao kwa ajli ya miradi ya sriakli , seriakli ambayo imefuja fedha zote za kodi na sasa inanyag'anya misharaha ya walimu ili angalau kuongeza show kwenye kampeni za ccm mwakani; tatu kuwatayarisha kwa ajil ya kuunga mkono na kusaidia ccm kuingia madaraani mwakani kitu ambacho kwa sababu walimu ni wajinga wasiojitambua, utaona watakavyo changamkia tenda.
Ujinga mtupu!.
wewe mwenyewe ni mjinga mjinga, hata kuandika ni shida. Angalia serikali ulivyoiandika. Hufuati alama za uandishi halafu unajiona mjanja.