Walimu wa Tanzania ndio maana wanadharauliwa na kila mtu

Robot la Matope

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
7,087
13,774
Baada ya kuona kila leo kuna mijadala ya kuwadharau walimu ikanibidi niingie Google kujua walimu wanalipwa kiasi gani. Nilichokikuta huko ni aibu!!

Yaaani kwa mwezi mwalimu analipwa posho ya mbunge ya kikao kimoja?

Yaani serikali inaona poa kumlipa allowances askari magereza anayeshinda na wafungwa lakini mwalimu asubiri uchafuzi wa SISIEMU?

HII NI MISHAHARA YA WALIMU 2022/2023!!

B1 = Basic 419,000

Cwt = 8,390.
Pension = 20,950.
Income = 46,090.
Insur = 12,570
Take home = 331,000

C1 = Basic 530,000
Cwt = 10,600.
Pension = 26,500.
Income = 58,300.
Insurance = 15,900
Take home = 418,700

D1= Basic 716,000

Cwt = 14,320.
Pension = 35,800.
Income = 78,760.
Insurance = 21,400
Take home = 565,640

E1 = Basic 940,000

Cwt = 18,800.
Pension = 47,000.
Income = 103,400.
Insurance = 28,200
Take home = 742,600

F1 = Basic 1,235,000

Cwt = 24,700.
Pension = 61,750.
Income = 135,850.
Insurance = 37,050
Take home = 975,650

Source
 
Hii itakuwa ya kipindi Cha mkapa

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
Baada ya kuona kila leo kuna mijadala ya kuwadharau walimu ikanibidi niingie Google kujua walimu wanalipwa kiasi gani. Nilichokikuta huko ni aibu!!

Yaaani kwa mwezi mwalimu analipwa posho ya mbunge ya kikao kimoja?

Yaani serikali inaona poa kumlipa allowances askari magereza anayeshinda na wafungwa lakini mwalimu asubiri uchafuzi wa SISIEMU?

HII NI MISHAHARA YA WALIMU 2022/2023!!

B1 = Basic 419,000

Cwt = 8,390.
Pension = 20,950.
Income = 46,090.
Insur = 12,570
Take home = 331,000

C1 = Basic 530,000
Cwt = 10,600.
Pension = 26,500.
Income = 58,300.
Insurance = 15,900
Take home = 418,700

D1= Basic 716,000

Cwt = 14,320.
Pension = 35,800.
Income = 78,760.
Insurance = 21,400
Take home = 565,640

E1 = Basic 940,000

Cwt = 18,800.
Pension = 47,000.
Income = 103,400.
Insurance = 28,200
Take home = 742,600

F1 = Basic 1,235,000

Cwt = 24,700.
Pension = 61,750.
Income = 135,850.
Insurance = 37,050
Take home = 975,650

Source
Walimu sio watu wa kutetea, ni mara100 kutetea hata yule Mamba kule Rukwa, Walimu ni kundi limejaa wapumbavu, Wajinga, waoga, binafisi watoto wangu nimewapeleka Kusoma Kenya, kule wanajifunza ujasiri, Huku Tanzania wangefundishwa uoga na hawa walimu wetu, Pole yao ambao watoto wao wanafundishwa na aina hii ya walimu na kikubwa wanacho fanya wana transfer ujinga ule kwenda kwa watoto
 
Baada ya kuona kila leo kuna mijadala ya kuwadharau walimu ikanibidi niingie Google kujua walimu wanalipwa kiasi gani. Nilichokikuta huko ni aibu!!

Yaaani kwa mwezi mwalimu analipwa posho ya mbunge ya kikao kimoja?

Yaani serikali inaona poa kumlipa allowances askari magereza anayeshinda na wafungwa lakini mwalimu asubiri uchafuzi wa SISIEMU?

HII NI MISHAHARA YA WALIMU 2022/2023!!

B1 = Basic 419,000

Cwt = 8,390.
Pension = 20,950.
Income = 46,090.
Insur = 12,570
Take home = 331,000

C1 = Basic 530,000
Cwt = 10,600.
Pension = 26,500.
Income = 58,300.
Insurance = 15,900
Take home = 418,700

D1= Basic 716,000

Cwt = 14,320.
Pension = 35,800.
Income = 78,760.
Insurance = 21,400
Take home = 565,640

E1 = Basic 940,000

Cwt = 18,800.
Pension = 47,000.
Income = 103,400.
Insurance = 28,200
Take home = 742,600

F1 = Basic 1,235,000

Cwt = 24,700.
Pension = 61,750.
Income = 135,850.
Insurance = 37,050
Take home = 975,650

Source
Kwani wao ndio wanajilipa hiyo mishahara? Tumia akili kufikiri. Hiyo inatokana na hali ya uchumi wa nchi yetu. Hakuna anayemdharau mwalimu labda mpumbavu km wewe. Sisi tunawapenda na kuwaheshimu
 
Walimu sio watu wa kutetea, ni mara100 kutetea hata yule Mamba kule Rukwa, Walimu ni kundi limejaa wapumbavu,Wajinga,waoga, binafisi watoto wangu nimewapeleka Kusoma Kenya, kule wanajifunza ujasiri, Huku Tanzania wangefundishwa uoga na hawa walimu wetu,Pole yao ambao watoto wao wanafundishwa na aina hii ya walimu na kikubwa wanacho fanya wana transfer ujinga ule kwenda kwa watoto
Binafsi siwatetei walimu, natetea Taifa!! Mwalimu anayelipwa Tsh laki 3 hawezi mfundisha mtoto Kujitegemea!! Tunaendelea kuwa Taifa la wanafiki nchi hii.
 
Walimu sio watu wa kutetea, ni mara100 kutetea hata yule Mamba kule Rukwa, Walimu ni kundi limejaa wapumbavu,Wajinga,waoga, binafisi watoto wangu nimewapeleka Kusoma Kenya, kule wanajifunza ujasiri, Huku Tanzania wangefundishwa uoga na hawa walimu wetu,Pole yao ambao watoto wao wanafundishwa na aina hii ya walimu na kikubwa wanacho fanya wana transfer ujinga ule kwenda kwa wat

We una ujasiri ktk nini. Na hao wakenya wana ujasiri wa kufanya nini. Acha sifa za kijinga
 
Kwani wao ndio wanajilipa hiyo mishahara? Tumia akili kufikiri. Hiyo inatokana na hali ya uchumi wa nchi yetu. Hakuna anayemdharau mwalimu labda mpumbavu km wewe. Sisi tunawapenda na kuwaheshimu
We utakua mgeni hapa JamiiForums au mnafiki
Screenshot_20231228-224414.jpg
Screenshot_20231228-224350.jpg
Screenshot_20231228-224330.jpg
Screenshot_20231228-224305.jpg
 
Walimu sio watu wa kutetea, ni mara100 kutetea hata yule Mamba kule Rukwa, Walimu ni kundi limejaa wapumbavu,Wajinga,waoga, binafisi watoto wangu nimewapeleka Kusoma Kenya, kule wanajifunza ujasiri, Huku Tanzania wangefundishwa uoga na hawa walimu wetu,Pole yao ambao watoto wao wanafundishwa na aina hii ya walimu na kikubwa wanacho fanya wana transfer ujinga ule kwenda kwa watoto

Kwa hiyo Kenya ndiyo umeona ni darasa zuri la ujasiri. Au social set up yao ndiyo inawafanya wawe hivyo?
Unawafahamu walimu wa Kenya?
 
Kwahyo na hawa wenye take home 300k nao walichanga hela za fomu??

Kuna jamaa angu anasemaga vichwa vya walimu ni kama Power bank....
Walimu ni walimu. Ukiwakuta ndani ya nguo za chama ndo utaelewa!! Sema viongozi wetu wanafanya maksudi.
Wanataka walimu dhaifu ndo wafundishe watoto wetu wakati watoto wao wanasomea Feza school na IST
 
Washaanza kabla ya 2025

UMOJA wa Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania
(TAHOSSA), wamechangishana kiasi cha shilingi milioni 1.6 kwaajili ya kumsaidia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais kwa mwaka 2025 ambao wameuita kama kapu la mama.

View attachment 2856020
Walamba asali, acha waburuzwe mpaka akili ziwakae sawa
 
Baada ya kuona kila leo kuna mijadala ya kuwadharau walimu ikanibidi niingie Google kujua walimu wanalipwa kiasi gani. Nilichokikuta huko ni aibu!!

Yaaani kwa mwezi mwalimu analipwa posho ya mbunge ya kikao kimoja?

Yaani serikali inaona poa kumlipa allowances askari magereza anayeshinda na wafungwa lakini mwalimu asubiri uchafuzi wa SISIEMU?

HII NI MISHAHARA YA WALIMU 2022/2023!!

B1 = Basic 419,000

Cwt = 8,390.
Pension = 20,950.
Income = 46,090.
Insur = 12,570
Take home = 331,000

C1 = Basic 530,000
Cwt = 10,600.
Pension = 26,500.
Income = 58,300.
Insurance = 15,900
Take home = 418,700

D1= Basic 716,000

Cwt = 14,320.
Pension = 35,800.
Income = 78,760.
Insurance = 21,400
Take home = 565,640

E1 = Basic 940,000

Cwt = 18,800.
Pension = 47,000.
Income = 103,400.
Insurance = 28,200
Take home = 742,600

F1 = Basic 1,235,000

Cwt = 24,700.
Pension = 61,750.
Income = 135,850.
Insurance = 37,050
Take home = 975,650

Source
Baadhi ya walimu wanaweza kutetea kwa nje ila kwa ndani sote tunakubali

Licha ya kuwa kazi nyingi chini ya halmashauri hazina maslahi ila ualimu ni kazi ya AJABU MNO

Kwa kweli tumepoteza miaka mitatu bure chuoni

Kuliko kumpeleka mwanao akasomee huu upumbavu ni bora umuache tu afanye kazi za mtaani.

Binafsi naongea hivi kwa experience.

UALIMU SIO KAZI
 
Wanaotetea wanasema huo mshahara ni mwingi au wanasemaje??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom